Mwenye GPA za Engineer Rais wa Yanga atuletee

Mwenye GPA za Engineer Rais wa Yanga atuletee

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Poor rational thinking, mhandisi kahawa na mwanasheria kishoka. Tunakabidhi timu kwa watu tunaoamini ni wasomi na wenye kusimamia maadili halafu matokeo yake unashindwa kusimamia na utaratibu na haki.

Hersi sijui hesi usifikir ile juice mliyokunywa na Karia kwake Tanga sijui mkiwa na byut byut na makijichekesha chekesha basi ndio inawapa kibuli cha kufanya dharau na kukaidi maagizo halari ya hukumu ya Manara.

Mngefuata utaratibu tu, kuna rufaa na kuomba kupunguziwa adhabu ila sio kwa ujinga na uzembe mlioufanya wa kukaidi adhabu halali ya TFF.

Hakuna kitu mngepungukiwa na siku ya mwananchi bado ingependeza tu. Inatakiwa huyu rais naye apewe adhabu inayostahili na TFF
 
Nilisikia alisomaa Degree DIT, na masters University of Tokyo.

Walete GPA yake hapa.
 
Kati ya mambo yaliyonifurahisha Jana japo Mimi si shabiki wa Yanga ni tukio la Manara. Tufike wakati tuache kuendekeza ujinga.
 
Relax mtoa hoja kwa busara zako you can do better than this,unahitaji wasifu wake wa kielimu utakusaidia nini wewe binafsi?,je utakuongezea chapati kwenye breakfast yako?,President Mugabe alikua na zaidi ya 7degree za kusomea, angalia alivyoifanyia Zimbabwe it's a fuckup, na pia uliona wapi hakimu ndie huyo huyo aliyekufungulia mashitaka?,tunahitaji tume iliyo independent kuamua masuala haya, hii tume ya maadili ni sehemu ya TFF
 
Intelligence na elimu ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa na GPA ya 5 lakn your not intelligent...
 
Mpira umejaaa mipasho,uchawa tu

Ova
 
Intelligence na elimu ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa na GPA ya 5 lakn your not intelligent...
Sijui kiingereza lakini naona ni kosa la kizembe kwa mtu aliekuwa makini hata St. Kayumba darasa la 5 B kuandika your badala you are.
 
Huyu engineer wa utopolo anachojua n kurembua na kulegeza sauti wakati anahojiwa kichwani hamna kitu
 
Huyu engineer wa utopolo anachojua n kurembua na kulegeza sauti wakati anahojiwa kichwani hamna kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom