Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Poor rational thinking, mhandisi kahawa na mwanasheria kishoka. Tunakabidhi timu kwa watu tunaoamini ni wasomi na wenye kusimamia maadili halafu matokeo yake unashindwa kusimamia na utaratibu na haki.
Hersi sijui hesi usifikir ile juice mliyokunywa na Karia kwake Tanga sijui mkiwa na byut byut na makijichekesha chekesha basi ndio inawapa kibuli cha kufanya dharau na kukaidi maagizo halari ya hukumu ya Manara.
Mngefuata utaratibu tu, kuna rufaa na kuomba kupunguziwa adhabu ila sio kwa ujinga na uzembe mlioufanya wa kukaidi adhabu halali ya TFF.
Hakuna kitu mngepungukiwa na siku ya mwananchi bado ingependeza tu. Inatakiwa huyu rais naye apewe adhabu inayostahili na TFF