Netanyahu
Senior Member
- Oct 2, 2008
- 147
- 24
Bilionea Adolf Merckle mmiliki wa kampuni ya HeidelbergCement inayomiliki asilimia zaidi ya 60 kampuni ya Twiga cement ya Tanzania amejiua jumatatu tarehe 5 jan 2009 kwa kujigongesha kwenye treni kutokana na hali ngumu ya kifedha inayokabili makampuni yake kutokana na kuyumba mfumo wa fedha duniani.Bei ya Hisa kwenye kampuni mama ya Twiga Cement ya HeidelbergCement zimeporomoka kwa kiasi kikubwa baada ya kujiua kwa mmiliki huyo.
Swali ni je wanahisa wanaomiliki hisa za Twiga Cement wafanyaje,Serikali inawashauri nini raia wake wenye hisa?
Habari zaidi waweza soma :
German tycoon Adolf Merckle commits suicide | Reuters
Swali ni je wanahisa wanaomiliki hisa za Twiga Cement wafanyaje,Serikali inawashauri nini raia wake wenye hisa?
Habari zaidi waweza soma :
German tycoon Adolf Merckle commits suicide | Reuters