Mwenye hisa kubwa Twiga Cement ajiua

Mwenye hisa kubwa Twiga Cement ajiua

Netanyahu

Senior Member
Joined
Oct 2, 2008
Posts
147
Reaction score
24
Bilionea Adolf Merckle mmiliki wa kampuni ya HeidelbergCement inayomiliki asilimia zaidi ya 60 kampuni ya Twiga cement ya Tanzania amejiua jumatatu tarehe 5 jan 2009 kwa kujigongesha kwenye treni kutokana na hali ngumu ya kifedha inayokabili makampuni yake kutokana na kuyumba mfumo wa fedha duniani.Bei ya Hisa kwenye kampuni mama ya Twiga Cement ya HeidelbergCement zimeporomoka kwa kiasi kikubwa baada ya kujiua kwa mmiliki huyo.

Swali ni je wanahisa wanaomiliki hisa za Twiga Cement wafanyaje,Serikali inawashauri nini raia wake wenye hisa?

Habari zaidi waweza soma :
German tycoon Adolf Merckle commits suicide | Reuters
 
Jamani hawa ma bilionea wana nini??wanaogopa filisika?hahah kwa kweli yafaa tuwaombee hata hawa wa tz maana wamejawa na wasi wasi mkubwa....
 
Bilionea Adolf Merckle mmiliki wa kampuni ya HeidelbergCement inayomiliki asilimia zaidi ya 60 kampuni ya Twiga cement ya Tanzania amejiua jumatatu tarehe 5 jan 2009 kwa kujigongesha kwenye treni kutokana na hali ngumu ya kifedha inayokabili makampuni yake kutokana na kuyumba mfumo wa fedha duniani.Bei ya Hisa kwenye kampuni mama ya Twiga Cement ya HeidelbergCement zimeporomoka kwa kiasi kikubwa baada ya kujiua kwa mmiliki huyo.

Swali ni je wanahisa wanaomiliki hisa za Twiga Cement wafanyaje,Serikali inawashauri nini raia wake wenye hisa?

Habari zaidi waweza soma :
German tycoon Adolf Merckle commits suicide | Reuters
Kweli tajiri na mali yake, masikini na mwanae. Huyu jamaa ubilionea umemkaa kupata hasara anaona ni fedheha kubwa sana.
 
Bilionea Adolf Merckle mmiliki wa kampuni ya HeidelbergCement inayomiliki asilimia zaidi ya 60 kampuni ya Twiga cement ya Tanzania amejiua jumatatu tarehe 5 jan 2009 kwa kujigongesha kwenye treni kutokana na hali ngumu ya kifedha inayokabili makampuni yake kutokana na kuyumba mfumo wa fedha duniani.Bei ya Hisa kwenye kampuni mama ya Twiga Cement ya HeidelbergCement zimeporomoka kwa kiasi kikubwa baada ya kujiua kwa mmiliki huyo.

Swali ni je wanahisa wanaomiliki hisa za Twiga Cement wafanyaje,Serikali inawashauri nini raia wake wenye hisa?

Habari zaidi waweza soma :
German tycoon Adolf Merckle commits suicide | Reuters

Wakamzike boss wao!
 
Yaani ujiuwe kwa kuishiwa tu???

Yaani kaazi kweli kweli!

...kwani huwa wanapanga basi, inawajia kama chafya, mara unakuta mtu keshajitupa mbele ya gari moshi. Dalili za watu ambao ni rahisi kujiua ni pamoja na wale watu wasiokuwa na mipangilio yoyote ya maisha mbele yao, aka "Lack of interest in future plans."
 
Kaazi kweli kweli, usikute kwa utajiri wake mpaka anajiua ulikuwa juu ya hata matajiri wote wakubwa hapa bongo..Japokuwa kwake ulikuwa umeshuka! KweliUtajiri au umasikini ni comparative term jamani!
 
Wanahisa tunaomiliki hisa za TCC hatuna ujanja wowote kwa kweli. Kilichotokea ni kwamba hawa walisha tangaza kuwa hakuna dividends zinazotoka kufuatia mwisho wa quarter hii iliyopita - damn!

Otherwise, I am not sure kama kuporomoka kwa hisa huko nje itaathiri bei ya hisa hapo DSE. This is because many of the stock exchanges in Afrika including Tanzania's DSE are disjointed and not directly connected with the world stock exchange system. Sijaangalia bei yake leo but last time I checked TCC was about 1,200 TZ shillings per share.
 
Wanahisa tunaomiliki hisa za TCC hatuna ujanja wowote kwa kweli. Kilichotokea ni kwamba hawa walisha tangaza kuwa hakuna dividends zinazotoka kufuatia mwisho wa quarter hii iliyopita - damn!

Otherwise, I am not sure kama kuporomoka kwa hisa huko nje itaathiri bei ya hisa hapo DSE. This is because many of the stock exchanges in Afrika including Tanzania's DSE are disjointed and not directly connected with the world stock exchange system. Sijaangalia bei yake leo but last time I checked TCC was about 1,200 TZ shillings per share.
 
...kwani huwa wanapanga basi, inawajia kama chafya, mara unakuta mtu keshajitupa mbele ya gari moshi. Dalili za watu ambao ni rahisi kujiua ni pamoja na wale watu wasiokuwa na mipangilio yoyote ya maisha mbele yao, aka "Lack of interest in future plans."

Usemalo ni kweli, unajua kila mtu ana kiwango chake cha kuona hili janga/suala ni kubwa. Hata TZ kuna wanajiua kwa kukataliwa tu kuoa/kuolewa, kuna juzi alijiua sababu ndugu zake walimkatalia kwendakumzika mwanae kwao (Kilimanjaro) na wakataka azikwe Dar. Ni matatizo ya kisaikolojia zaidi.
 
Kazi kweli kweli! Sasa huyu jamaaa hata akiuza kila alichonacho si bado atakuwa vizuri tuuu? Yaani utajiri unamfanya ajiue! What is the value of LIFE hapa. Afe tu by the way sisi tuendelee kupeta maana pengine hiyo wealth aliyokuwa ameihodhi now itakuwa walau distributed evenly. Kwanza mtu akiwa tajiri somewhere, somewhere else mtu ankuwa masikini.
 
Bilionea Adolf Merckle mmiliki wa kampuni ya HeidelbergCement inayomiliki asilimia zaidi ya 60 kampuni ya Twiga cement ya Tanzania amejiua jumatatu tarehe 5 jan 2009 kwa kujigongesha kwenye treni kutokana na hali ngumu ya kifedha inayokabili makampuni yake kutokana na kuyumba mfumo wa fedha duniani.Bei ya Hisa kwenye kampuni mama ya Twiga Cement ya HeidelbergCement zimeporomoka kwa kiasi kikubwa baada ya kujiua kwa mmiliki huyo.

Swali ni je wanahisa wanaomiliki hisa za Twiga Cement wafanyaje,Serikali inawashauri nini raia wake wenye hisa?

Habari zaidi waweza soma :
German tycoon Adolf Merckle commits suicide | Reuters

Hiyo ndiyo adha ya kuufanya utajiri na mali kuwa Mungu.
 
Adolf Merckle (March 18, 1934 – January 5, 2009) was a businessman, and one of the richest people in Germany.

Merckle was born in Dresden, Germany into a wealthy family. Most of his wealth came from inheritance. He developed his Bohemian grandfather's chemical wholesale company into Germany's largest pharmaceutical wholesaler, Phoenix Pharmahandel. His family also owns the generic drug manufacturer Ratiopharm, and large parts of cement company HeidelbergCement as well as vehicle manufacturer Kässbohrer.

He was educated as a lawyer but spent most of his time investing. He lived in Germany with his wife and four children.

Merckle made a speculative investment based on his belief that Volkswagen shares would fall, when, in October 2008, a support of Volkswagen by Porsche SE sent shares on the Xetra dax from €210.85 to over €900 in less than two days, resulting in losses estimated in the hundreds of millions of dollars for Merckle.

In 2007 he was worth US$12.8 billion by most estimates (Forbes), and by December 2008 he was still worth $9.2 billion, a loss of $3.6 billion. In 2006 he was the worlds 44th richest man, moving to 96th place by December 2008, yet still one of Germany's top five richest men.

Adolf Merckle committed suicide on January 5, 2009 by throwing himself in front of a train near his hometown of Blaubeuren. It was believed that his cement company was unable to make payments on a huge loan taken out to purchase an English competitor.

HeidelbergCement
 
Jamaa kaogopo kufilisika!! Matajiri waoga sana kuwa maskini lakini pia inauma kitu ulikipigania kuanguka kifo cha mende just like that inauma. Hila si kujiua kwani uhai ni kitu kingine uncomparable na chochote.
 
Merckle debts hit 5 bln eur before suicide-sources

* Adolf Merckle owed banks 5 billion euros - sources
* Family silver up for grabs to repay his loans
* Industrialist's conservative facade hid risk-taking

By Alexander Huebner and John O'Donnell

FRANKFURT, Feb 20 (Reuters) - Industrialist Adolf Merckle racked up 5 billion euros ($6.3 billion) of debt before he committed suicide, now forcing his family to sell swathes of his empire to repay it, said sources familiar with the matter.

Merckle threw himself in front of a train last month, leaving behind an empire spanning cement production to generic drugs. Until now, his borrowings -- mainly at his key VEM investment vehicle -- had been a closely guarded secret.

To compound the family's difficulties, some of the 5 billion euros borrowed from 30 banks, including Royal Bank of Scotland, is short-term debt to be repaid soon, the sources said.

They come on top of the debts of Merckle-controlled HeidelbergCement, which last September tipped 12 billion euros, and put pressure on for a sale of some or all of the family silver, starting with its generics drugs business Ratiopharm. Continued...
 
Back
Top Bottom