Mwenye historia ya huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa atuwekee hapa

Tafadhali jamani mwenye historia ya maisha ya Huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa naomba atuwekee hapa, maana anazidi kuwapiku feki wenzake hapa Tanzania.
Kuna machawa wake hapa watakuvamia kama nyuki. Hili ni tapeli ambalo limefanikiwa kuwachota wajinga. Kuna siku litawaambia kuwa leta kopo la heineken na milioni moja Tsh, nitaligeuza kopo kwa miujiza liwe scania bus. na majitu yatauza viwanja kuleta milioni moja hiyo. Kwa vile ni majinga atayaambia kasubiri nyumbani mabasi yatakuja yenywe, yataondoka. Next time anatafuta uongo wa kuyaeleza na kwa vile ni mapunguani yatakubali.....maisha yanaendelea
 
Kenge wewe! Unatumiwa na shetwaini!
 
IMG_20221130_140511.jpg
 
Hivi kwanini mtu asijiombee yeye mwenyewe kwa Mungu kwa jambo analohitaji msaada kwa muumba wake? kwanini uombewe na mtu mwingine shida zako? anayeombwa si huyo huyo Mungu wetu mmoja kwa sisi sote?

Au kuna watu wao ndio wakiwaombea wenzao kwa Mungu ndio wanasikilizwa? mimi naamini kua,Mungu anamsikiliza kila mwenye shida yake na hajawahi kutubagua.
 
Kuna machawa wake hapa watakuvamia kama nyuki. Hili ni tapeli ambalo limefanikiwa kuwachota wajinga. Kuna siku litawaambia kuwa leta kopo la heineken na milioni moja Tsh, nitaligeuza kopo kwa miujiza liwe scania bus. na majitu yatauza viwanja kuleta milioni moja hiyo. Kwa vile ni majinga atayaambia kasubiri nyumbani mabasi yatakuja yenywe, yataondoka. Next time anatafuta uongo wa kuyaeleza na kwa vile ni mapunguani yatakubali.....maisha yanaendelea
Kwa hiyo wewe ndio una akili kuliko wa wafuasi wake wote wale,acha kupangia maisha watu bana
 
Tafadhali jamani mwenye historia ya maisha ya Huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa naomba atuwekee hapa, maana anazidi kuwapiku wenzake wakina Lusekelo, Malisa, Kakobe, Mwingira wengine wa type hiyo hapo Tanzania.
Kila zama na kurasa zake
 
tukubali tukatae mzee wa maji ya upako kajaza kwa mkapa [emoji3577]
 
Kuna vitu tunachukulia poa ila sio poa,yaan kwann yeye?hao wenzie hawataki kuwa km yeye wapige pesa?,km ana nguvu za kichawi ina maana wengine wote hawataki kua nazo?tuache theory jamani,yale yale ya ooh diamond anatumia uchawi,yaan wasanii wote hawataki kutumia uchawi wawe km yeye,lazima tukubaliane kwamba tumepewa vipaji tofauti na hatupo sawa,na huo ndio UKWERIII
 
Back
Top Bottom