Mwenye historia ya huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa atuwekee hapa

Vipaji vya ushawishi ni kweli vinatofautiana. Lakini je ni nabii wa kweli? miujiza yake ni kweli kutoka kwa Mungu?
 
Tafadhali jamani mwenye historia ya maisha ya Huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa naomba atuwekee hapa, maana anazidi kuwapiku wenzake wakina Lusekelo, Malisa, Kakobe, Mwingira wengine wa type hiyo hapo Tanzania.
Halafu nasikia wale waumini wa Dini ya Mnyaazi Mungu, ndiyo wanaongoza kwenda kwa huyo jamaa!!

Hivi haiwezekani kumtangazia fatwa kweli? Asije akawateka wafuasi wote aisee!!
 
Vipaji vya ushawishi ni kweli vinatofautiana. Lakini je ni nabii wa kweli? miujiza yake ni kweli kutoka kwa Mungu?
Hapo wote hatujui so inabid kuwa neutral sio kuconclude ana nguvu hasi mkuu
 
Hivi wale waliopona baada ya kuombewa na Bwana Yesu Kristo wenyewe walishindwa nini kujiombea kwa Mungu.
 
Hivi wale waliopona baada ya kuombewa na Bwana Yesu Kristo wenyewe walishindwa nini kujiombea kwa Mungu.
Kwa imani yao Yesu ndio Mungu,

Ila tunaposema "Kuombewa na Bwana Yesu" je waliombewa kwa nani? yale maombi yalielekezwa kwa nani ili hao watu wapone? au aliyewaombea alikua anawaombea kwake yeye mwenyewe?

Nifahamishe Mkuu kama una uelewa na hilo.
 
Halafu nasikia wale waumini wa Dini ya Mnyaazi Mungu, ndiyo wanaongoza kwenda kwa huyo jamaa!!

Hivi haiwezekani kumtangazia fatwa kweli? Asije akawateka wafuasi wote aisee!!
Mwanaume hatumii neno nasikia,ni ishara ya umbea,unasikia kutoka wapi? unaleta hoja JF kwa jambo la "Kusikia" hear say? halafu wewe hua huwezi kujadili bila kuingiza imani zingine? umeisoma mada au unataka tu kudivert mjadala?
 
Nilikukanya juzi na leo tena usichafue watu ndugu
 
Hapo wote hatujui so inabid kuwa neutral sio kuconclude ana nguvu hasi mkuu
Angalau wewe uko neutral kwa wote,
Binafsi mimo niko negative kwa wote walioko including yeye.

Kwa akili yangu naamini tu Unabii uliishiaga miaka hiyo. Zile za yesu kufanya miujiza ya kufufua, kuponya wagonjwa, kuombea mikate sijui samaki wakawa wengi yote kwa kutumia jina la Mungu, etc hakuna wa sasa anaeweza kufanya yale.

Usanii umekua mwingi sana siku hizi. Watu real wanaoumwa na waliokufa na hatuoni wakiponywa.
 
Tafadhali jamani mwenye historia ya maisha ya Huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa naomba atuwekee hapa, maana anazidi kuwapiku wenzake wakina Lusekelo, Malisa, Kakobe, Mwingira wengine wa type hiyo hapo Tanzania.
Ni Mtume mkubwa sana bahati mbaya walisahau kimtaja ktk Bibie
 
Watu mnateseka sana...na bado kazi inaendelea kwa kasi.

Na washauri tu.

Acha kulia anza kuamini.

Mapovu hayato wasaidia kitu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Utapeli wa kidini ni mgumu sana kuulewa na uko pande zote za dunia. Haujaanza na Mwamposa wala hautaisha naye.
 
Wanamuziki Wachawi wapo hali kadhalika wachungaji na ma sheikh. Wewe Kalia ooh vipaji tofauti na bla bla kibao utakwenda na maji. Nyakati hizi ni zile nyakati za mwisho mwisho ukikaa vibaya wanavuka nawe kwenye mafuta.
 
Peleka kopo Basi update scania
Tafuta kuijua KWELI..usikashifu huduma za watu, hiyo kweli itakuweka huru..
Tafuta popote pale pepo au jini anatoa pepo mwenzie..shetani anakuletea kifafa halafu shetani huyo huyo anakuondolea..ukipata ushuhuda wa aina hiyo ulete hapa.
 
Tafadhali jamani mwenye historia ya maisha ya Huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa naomba atuwekee hapa, maana anazidi kuwapiku wenzake wakina Lusekelo, Malisa, Kakobe, Mwingira wengine wa type hiyo hapo Tanzania.
Jihadhari na tabia ya kustage jukwaa ili watu wakashifu huduma za watu walizopewa kusaidia watu..laana zingine ni generational, wewe haitakutokea ila wanaokufuata ..chunga sana akili na ulimi wako uiepushe familia yako na mabaya yanaweza kuwapata sababu ya tabia au maneno yako!
 
Wanamuziki Wachawi wapo hali kadhalika wachungaji na ma sheikh. Wewe Kalia ooh vipaji tofauti na bla bla kibao utakwenda na maji. Nyakati hizi ni zile nyakati za mwisho mwisho ukikaa vibaya wanavuka nawe kwenye mafuta.
Umetumia kigezo gani kuvalidate hiyo statement yako au ni story za vijiweni,nimekwambia km msanii A ni mchawi kwann B C na D wasiwe wachawi,yaani out of wasanii wote waliopo mmoja awe mchawi na wenzie wasifate nyayo,ina maana ana roho ngumu sana?watu wanapitia kwenye hali ngumu sana na hatujui hustle zao wakitoboa tunasema wachawi,daah kaz kwel kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…