Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo ndo napomchokea toyota...kwann ipungue nguvu..wameforce 4wd ili iwejeNNCP 65 NINAYO, KWA MJINI INATUMIA KM 11-12/LITA NA KWA HIGHWAY NI KM 16 ,PIA KWA KUWA INADRIVE TAIR ZOTE 4 KWA WAKATI MMOJA UKIWASHA AC NGUVU YAKE INAPUNGUA KIDOGOO
kakwambia ukiwwka 4wd nanukiwasha a.c gari inakosa nguvu..what is the use of that 4wdKwani mkuu hiyo 4WD yake inatumika muda wote? Mi nilidhani ni option kwamba usipoengage, gari inaperform as 2WD .. kama ni hivyo consumption itakua kawaida unless muda ambao utakua umeopt hiyo 4WD
Sent using Jamii Forums mobile app
kakwambia ukiwwka 4wd nanukiwasha a.c gari inakosa nguvu..what is the use of that 4wd
hapo ndo napomchokea toyota...kwann ipungue nguvu..wameforce 4wd ili iweje
Automatic wheel drive AWD ni inakua inapeleka nguvu kwenye tairi kulingana na mahitaji, kama ni normal drive inavutia mbele itakua ni mbele, ila ikifika sehemu ikakwama mfano kwenye tope inapeleka nguvu kwenye matairi yonayohitaji support (yote)Kwani nini tofauti kati ya AWD na Full Time 4WD?
-Kaveli-
AWD=ALL wheel driveAutomatic wheel drive AWD ni inakua inapeleka nguvu kwenye tairi kulingana na mahitaji, kama ni normal drive inavutia mbele itakua ni mbele, ila ikifika sehemu ikakwama mfano kwenye tope inapeleka nguvu kwenye matairi yonayohitaji support (yote)
Ila 4WD nk matairi yote manne yanafanya kazi kwa nguvu ile ile iliyo sawa.
( kwa uelewa wangu)
Sent using Jamii Forums mobile app
AWD matairi yote yanafanyakazi ikitokea uhitaji(gari yenyewe ina sense)Kwani nini tofauti kati ya AWD na Full Time 4WD?
-Kaveli-
AWD matairi yote yanafanyakazi ikitokea uhitaji(gari yenyewe ina sense)
4WD matairi yote manne yanafanyakazi muda wote au dereva akiamua.
Magari mengi ya kisasa 4WD kuna button unachagua 2H unatumia matairi mawili kuendesha hali ya kawaida au 4H unatumia matairi yote kuendesha hali ya kawaida. Ikiwa kwenye tope mchanga unaweka 4L.
Mimi ninayo cc1490 4wd toyota ist kwa siku natembea kama km 66 ivi kutoka home hadi town job kwa kwenda na kurudi ili niwe free kabisa natumia 4.6lts-5lts kwa kwenda na kurudi na kwa kweli gari huwa inatembea speed sana mpaka naogopa wenye ist wenzangu huku nje ya mji wanapata tabu sana pale nnapokuwa nishawasha R Indicator Light [emoji3][emoji3][emoji3] kwa uwezo wetu wa kurahisisha usafir kuepuka tabu za mwendokasi nk kanafaa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nina IST NCP 65 yaani ina siku 10 tu bongo, inatembea 6.5km kwa litre. Shida itakuwa nini? (thou napita rough road mara nyingi)Hivi mtu anaanzaje kua na hofu ya fuel consumption kwa gari yenye 1490 CC? Au anataka awe anaweka mafuta ya 10,000 atembee km 100?
Mkuu fuel consumption kubwa ya gari hua inategemea vitu hivi acceleration yako i.e kama ule mshale wa acceleration unaendeshea kwenye 3-4 lazima utumie mafuta mengi, fuel filter, oil filter, service ya gari kwaio anza na uendeshaji wako wa gari, fanya service utaona mabadiliko mimi natumia Hilux Surf ya 3000CC ilikua inashinda nyingi na nilikua natumia 4.5km/l sasa hivi nimeirekebisha mambo mengi napata 7.3-7.5km/l mimi nipo mjini kiyoyozi 24/7Mkuu nina IST NCP 65 yaani ina siku 10 tu bongo, inatembea 6.5km kwa litre. Shida itakuwa nini? (thou napita rough road mara nyingi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwenye acc natumia 2-3 kabisa. Niko makini katika hilo. Sina mbio zisizo za lazima. Nimeshafanya service ya oil. Nimeweka Gulf oil 5W30Mkuu fuel consumption kubwa ya gari hua inategemea vitu hivi acceleration yako i.e kama ule mshale wa acceleration unaendeshea kwenye 3-4 lazima utumie mafuta mengi, fuel filter, oil filter, service ya gari kwaio anza na uendeshaji wako wa gari, fanya service utaona mabadiliko mimi natumia Hilux Surf ya 3000CC ilikua inashinda nyingi na nilikua natumia 4.5km/l sasa hivi nimeirekebisha mambo mengi napata 7.3-7.5km/l mimi nipo mjini kiyoyozi 24/7
Ni full fix.Kuna jamaa yangu ana ist ananiambia yake inaenda km 20 kwa lita moja ya petrol.Itakuwa fix