Mwenye IST yenye '4WD'... atupe uzoefu

Mwenye IST yenye '4WD'... atupe uzoefu

NNCP 65 NINAYO, KWA MJINI INATUMIA KM 11-12/LITA NA KWA HIGHWAY NI KM 16 ,PIA KWA KUWA INADRIVE TAIR ZOTE 4 KWA WAKATI MMOJA UKIWASHA AC NGUVU YAKE INAPUNGUA KIDOGOO
hapo ndo napomchokea toyota...kwann ipungue nguvu..wameforce 4wd ili iweje
 
Kwani mkuu hiyo 4WD yake inatumika muda wote? Mi nilidhani ni option kwamba usipoengage, gari inaperform as 2WD .. kama ni hivyo consumption itakua kawaida unless muda ambao utakua umeopt hiyo 4WD

Sent using Jamii Forums mobile app
kakwambia ukiwwka 4wd nanukiwasha a.c gari inakosa nguvu..what is the use of that 4wd
 
Na kuna utata hapa... Kuna wanaosema kwamba 4wd ya IST ni "full time". Lakini mdau mwengine hapo juu katuhabarisha kuwa 'full time' 4wd inaengage pale tu inaposense slide... akimaanisha sio full time kabisa. Kipi ni kipi?

-Kaveli-
 
Kwani nini tofauti kati ya AWD na Full Time 4WD?

-Kaveli-
 
Tumuite na mkuu RRONDO atupe uzoefu wake kwenye hili.

-Kaveli-
 
Kwani nini tofauti kati ya AWD na Full Time 4WD?

-Kaveli-
Automatic wheel drive AWD ni inakua inapeleka nguvu kwenye tairi kulingana na mahitaji, kama ni normal drive inavutia mbele itakua ni mbele, ila ikifika sehemu ikakwama mfano kwenye tope inapeleka nguvu kwenye matairi yonayohitaji support (yote)
Ila 4WD nk matairi yote manne yanafanya kazi kwa nguvu ile ile iliyo sawa.
( kwa uelewa wangu)

AWD=ALL wheel drive
 
Kwani nini tofauti kati ya AWD na Full Time 4WD?

-Kaveli-
AWD matairi yote yanafanyakazi ikitokea uhitaji(gari yenyewe ina sense)
4WD matairi yote manne yanafanyakazi muda wote au dereva akiamua.
Magari mengi ya kisasa 4WD kuna button unachagua 2H unatumia matairi mawili kuendesha hali ya kawaida au 4H unatumia matairi yote kuendesha hali ya kawaida. Ikiwa kwenye tope mchanga unaweka 4L.
 
Thanks mkuu for useful info. Kwamba full time 4Wd inamaanisha tairi zote 4 zinasukumwa muda wote!

Je, 4WD ina effect yoyote kwenye performance ya speeding?

-Kaveli-
 
Mimi ninayo cc1490 4wd toyota ist kwa siku natembea kama km 66 ivi kutoka home hadi town job kwa kwenda na kurudi ili niwe free kabisa natumia 4.6lts-5lts kwa kwenda na kurudi na kwa kweli gari huwa inatembea speed sana mpaka naogopa wenye ist wenzangu huku nje ya mji wanapata tabu sana pale nnapokuwa nishawasha R Indicator Light [emoji3][emoji3][emoji3] kwa uwezo wetu wa kurahisisha usafir kuepuka tabu za mwendokasi nk kanafaa sana

Safi sana mkuu. Wewe ndo unaeleza uhalisia coz chombo unacho unakitumia daily.
So 4wd yake ni full time kabisa? Vipi kwenye rough road mfano tope au mchanga?
Hizo Lita 5 kwa km 66 ni highway tu? au pamoja na mafoleni ya mjini?
Kuwapigia indicator wenzio wenye IST, ni 4wd ndo inaongeza power kwenye speed?

-Kaveli-
 
Hivi mtu anaanzaje kua na hofu ya fuel consumption kwa gari yenye 1490 CC? Au anataka awe anaweka mafuta ya 10,000 atembee km 100?
Mkuu nina IST NCP 65 yaani ina siku 10 tu bongo, inatembea 6.5km kwa litre. Shida itakuwa nini? (thou napita rough road mara nyingi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nina IST NCP 65 yaani ina siku 10 tu bongo, inatembea 6.5km kwa litre. Shida itakuwa nini? (thou napita rough road mara nyingi)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu fuel consumption kubwa ya gari hua inategemea vitu hivi acceleration yako i.e kama ule mshale wa acceleration unaendeshea kwenye 3-4 lazima utumie mafuta mengi, fuel filter, oil filter, service ya gari kwaio anza na uendeshaji wako wa gari, fanya service utaona mabadiliko mimi natumia Hilux Surf ya 3000CC ilikua inashinda nyingi na nilikua natumia 4.5km/l sasa hivi nimeirekebisha mambo mengi napata 7.3-7.5km/l mimi nipo mjini kiyoyozi 24/7
 
Mkuu, kwenye acc natumia 2-3 kabisa. Niko makini katika hilo. Sina mbio zisizo za lazima. Nimeshafanya service ya oil. Nimeweka Gulf oil 5W30

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom