Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
ilo surf kama naliona ivi cc 3000! nawaacha kwanza wapite nikianza mosi mosi wanakaahMkuu fuel consumption kubwa ya gari hua inategemea vitu hivi acceleration yako i.e kama ule mshale wa acceleration unaendeshea kwenye 3-4 lazima utumie mafuta mengi, fuel filter, oil filter, service ya gari kwaio anza na uendeshaji wako wa gari, fanya service utaona mabadiliko mimi natumia Hilux Surf ya 3000CC ilikua inashinda nyingi na nilikua natumia 4.5km/l sasa hivi nimeirekebisha mambo mengi napata 7.3-7.5km/l mimi nipo mjini kiyoyozi 24/7
Kiukweli ist inaramge km 13-16 tu per litaNi full fix.
Hakuna IST ya namna hiyo.
Watanzania wengi sio halisia wanapozungumzia vitu wanavyo vimiliki ili kuvutia. Kuanzia mshahara anaolipwa, kipato anachokipata nk.
Hiyo siyo 4wd hiyo inaitwa AWD au all wheel drive. 4wd ina option ya ku engage na ki disengage. AWD iko full time engagedKwani mkuu hiyo 4WD yake inatumika muda wote? Mi nilidhani ni option kwamba usipoengage, gari inaperform as 2WD .. kama ni hivyo consumption itakua kawaida unless muda ambao utakua umeopt hiyo 4WD
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yangu inaenda 7km/L. Ina wiki mbili tu bongo, shida itakuwa nn?
Mkuu nenda tu kwa mafundi wa kuaminika watakuambia shida ni nini....mm si mtaalamu sana lkn kila day nasafir km kama 65 hivi kwenda na kurud kazini.....na huwa naweka mafuta ya 12000 yanatosha.....sasa ukipima kihesabu hspo utaona kabisa inarange km 13 per litaMkuu yangu inaenda 7km/L. Ina wiki mbili tu bongo, shida itakuwa nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu kwa ushauri, nitaufanyia kaziMkuu nenda tu kwa mafundi wa kuaminika watakuambia shida ni nini....mm si mtaalamu sana lkn kila day nasafir km kama 65 hivi kwenda na kurud kazini.....na huwa naweka mafuta ya 12000 yanatosha.....sasa ukipima kihesabu hspo utaona kabisa inarange km 13 per lita
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa huwa inafungua pale unapokanyaga mafuta mengii au unapokuwa kwenye mlima, mchanga na matope lazima utakanyaga mafuta mengi hvyo itafungua na tair za nyuma, kuna rafiki yangu ana spacio ya AWD ndo maana naelewa ufanyaji kazi wake, hata akiondoa gari kwa mafutamengi unaisikia kabisa inafungua, au akiwa anatembea kawaida halafu akaongeza mafuta mengi ghafla unaisikia kabisa inafungua tairi za nyuma...kuna kamvumo fulani hv unakasikia kwenye tair za nyuma zikipelekewa nguvu. Hvyo huwa hazifanyi kazi muda wote kama wengi wanvyodai, kuna wengine wanamiliki lakini hawajui zinafanyaje kazi wao wanajua zinafanya kazi muda wote, ukiwa mtu wa mafuta mengi kila wakati basi nazo zitafanya kazi muda mwingi.
Mkuu niliwahi kuendesha Subaru Legacy yenyewe ina AWD ambayo ni sawa na full time 4WD ile gari inakimbia sana mkuu ila kwa haya ma Toyota nadhani inakua na nguvu kwenye pulling tu kama umenasa sehemu..unatumia gari gani mkuu?Thanks mkuu. Hapo nimekusoma.
Afu hebu nambie, eti full time 4wd inaongeza performance kwenye speeding? Ama haina uhusiano na speeding?
-Kaveli-
Kaka mambo vipi?...naweza pata mawasiliano yako?Ila highway kako stable ukilinganisha na NCP 60 NA 61
Hii haiwezi kuwa gari! Umetazama haina engine ya lori?!Mkuu nina IST NCP 65 yaani ina siku 10 tu bongo, inatembea 6.5km kwa litre. Shida itakuwa nini? (thou napita rough road mara nyingi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio namshangaa huyo jamaa! Sasa akipewa 4000cc si atakufa huyuπΈπΈπΈHivi mtu anaanzaje kua na hofu ya fuel consumption kwa gari yenye 1490 CC? Au anataka awe anaweka mafuta ya 10,000 atembee km 100?
Ng'ofoA propeller ya nyuma iwe 2wd. Msimu wa mvua, unairudisha. ππNNCP 65 NINAYO, KWA MJINI INATUMIA KM 11-12/LITA NA KWA HIGHWAY NI KM 16 ,PIA KWA KUWA INADRIVE TAIR ZOTE 4 KWA WAKATI MMOJA UKIWASHA AC NGUVU YAKE INAPUNGUA KIDOGOO
Ndio namshangaa huyo jamaa! Sasa akipewa 4000cc si atakufa huyuπΈπΈπΈ
Wazi kabisa mzee πππ ila kuogopa mafuta kwenye economical car kama IST ni jambo lililonishitua zaidi!Usimshangae. Ukimshangaa naye anakushangaa inakuwaje at that age, plus being experienced with life, bado hutambui kuwa maisha ni kama vidole vya mkono wako, hatufanani kistatus wala financially.
Kila mtu na financial capacity yake. That's why wewe hapo pamoja na ugwiji wako wote downtown unaogopa kumiliki gari ya mzungu, na kinachokufanya uiogope ni kwasababu financial capacity yako ni ya 'kubahatisha' in pursuant to EU vehicles' maintenance cost. At the same time mtu kama RRONDO anakushangaa inakuwaje ushindwe kumiliki gari ya mzungu?!!
It's a matter of financial status. Maisha ni classes.
-Kaveli-
Wazi kabisa mzee πππ ila kuogopa mafuta kwenye economical car kama IST ni jambo lililonishitua zaidi!