Usimshangae. Ukimshangaa naye anakushangaa inakuwaje at that age, plus being experienced with life, bado hutambui kuwa maisha ni kama vidole vya mkono wako, hatufanani kistatus wala financially.
Kila mtu na financial capacity yake. That's why wewe hapo pamoja na ugwiji wako wote downtown unaogopa kumiliki gari ya mzungu, na kinachokufanya uiogope ni kwasababu financial capacity yako ni ya 'kubahatisha' in pursuant to EU vehicles' maintenance cost. At the same time mtu kama RRONDO anakushangaa inakuwaje ushindwe kumiliki gari ya mzungu?!!
It's a matter of financial status. Maisha ni classes.
-Kaveli-