Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ndio maskini wanavyotamani matajiri washuke wawe kama wao.
Tajiri sio injinia. What if alishauriwa kitaalam kwamba inawezekana?? Subirini uchunguzi ufanyike na mmiliki ahojiwe, acheni roho za kwanini, tatizo sio mmiliki peke yake, ujenzi mkubwa kama huo unahitaji approval na huenda mamlaka husika waliidhinisha.
Wewe ni mpuuzi na mshamba!Umewahi miliki ghorofa ? , au ndio wale mnaotaka matajiri waishi kama mashetani ?
Nadhani la msingi Serikali kusimamia ubora na viwango vya majengo kikamilifu pasipo kupepesa macho
Hii ni gharama ya uozo... Corruption pro max:Kuanzia Mipango Miji,Waliotoa building permits,ERB na Kadharika.
Duh 🙄 ! 😳 !Serikali dhaifu Ina mawazo dhaifu, watendaji dhaifu, machawa wenye akili dhaifu na hivyo kila kitu kinakwama.
Mleta mada yupo kwenye mnyororo wa udhaifu pia.
Kwa hiyo bidhaa zitakuwa zinajiweka na kujitoa zenyewe!?Kkoo iwe kwa maduka ya JUMLA TU...NA PIA STOO ZA SHEHENA ZITOKAZO BANDARINI...Masoko ya rejereja kila manispaa.....kisha masoko makubwa ya rejereja yawe Tmk, ilala, ubungo, kinondoni na kigamboni, kibaha, bagamoyo..ambayo feeder/Supplier mkubwa awe KKOO.
Mkuu mwenye Jengo Hana shida.. Hapa WA kufilisi ni wale waliotia sahihi na mihuri kwenye vibali hawa wanapaswa kufilisiwa na kutaifishwa kila kitu pamoja na kuondolewa kabisa kwenye mfumo . Hii italeta uwajibikaji
Upumbavu wako ni zaidi ya wa kwake!Acha upumbavu, Maskini mna tabu sana , kwani hilo ni jengo la kwanza kuanguka duniani hii
Afikishwe mbele ya vyombo vya sheria na wananchi wote tujue au tujulishwe namna kesi yake inavyokwenda.Akamatwe haraka Sana kwa kosa la Negligence
Hivi matajiri unawajua kweli!?Hivi ndio maskini wanavyotamani matajiri washuke wawe kama wao.
Tajiri sio injinia. What if alishauriwa kitaalam kwamba inawezekana?? Subirini uchunguzi ufanyike na mmiliki ahojiwe, acheni roho za kwanini, tatizo sio mmiliki peke yake, ujenzi mkubwa kama huo unahitaji approval na huenda mamlaka husika waliidhinisha.
ajali ya barabarani au ajali ya majini ni natural hazards sio gentleman na ndugu muerevu na muelewa sana?Tofautisha man made calamitiea na force majeure calamities. Ajali ya kariakoo ni man made calamity sio force majeure Kama tetemeko au mafuriko. Uwe mtu mwelewa saa zingine.