Mwenye kesi yoyote ya High Court /Court of appeal ambayo Tundu Lissu alisimamia kama wakili tafadhali aniwekee hapa

Mwenye kesi yoyote ya High Court /Court of appeal ambayo Tundu Lissu alisimamia kama wakili tafadhali aniwekee hapa

haisaidii.

nini maana ya chama cha domokrasia maendeleo.
kiongozi mkuu wa chama kukaa kwny uongozi miaka 20? au ndy maendeleo.
 
Mbowe Mhuni sana.

Kwake kika anayetaka kugombea uenyekiti ni Msaliti, Mhaini.
 
HAKUNA LABDA KWA HAKIMU MKAAZI PALE KISUTU NAPO SIDHANI KAMA ALISHAWAHI KUSHINDA KESI YOYOTE
Nime search sana sijaona! nilitaka nione reasoning katika kesi zake! nimeanza kuwa na mashaka na integrity ya brain yake!
 
Nina shida na kesi zake naomba mwenye nakala aniwekee hapa. Nimesearch kwente TANZLII sijapata
Nami pia naomba picha ya Mbowe akiwa kimbwetani chuo
Au CA yake semester yoyote kwa somo lolote
Au assignment yake
Hata field report
Ikishindikana basi picha akiwa na joho

Lissu aliwahi watetea wachimbaji wadogo wa madini, nyinyi wenyewe Chadema mlisema hivyo mnakumbuka.
Mbowe hata kumpigania kupatikana kwa katibu wake binafsi Ben Saanane alifanya ilimradi tu.
 
Nime search sana sijaona! nilitaka nione reasoning katika kesi zake! nimeanza kuwa na mashaka na integrity ya brain yake!
Safari hii Lissu atawatahiri bila ganzi chawa wote wa Mbowe pale ufipa.
Ngariba ananoa kisu, chawa jiandaeni kuuguza kidonda.
 
Nime search sana sijaona! nilitaka nione reasoning katika kesi zake! nimeanza kuwa na mashaka na integrity ya brain yake!
Wewe una akili kuliko Maprofesa waliomtunuku shahada alizonazo huyo jamaa?

.......Bila shaka wewe ni jamii ya akina Steve Nyerere huwa kazi kubwa ni uchawa tu.
 
Wewe una akili kuliko Maprofesa waliomtunuku shahada alizonazo huyo jamaa?

.......Bila shaka wewe ni jamii ya akina Steve Nyerere huwa kazi kubwa ni uchawa tu.
kwani nimeandika nini? mbona unanijia na lugha kali? uchawa umetoka wapi? uchwa ni tusi, kama siyo tusi basi mimi ni chawa wa mama yako
 
Aniwekee Hapa!

Tukuwekee hapa, we nani na umefanya nini ambacho Lissu hajafanya ???

We Nani maisha haya ambae unajua kusoma na kutuchambulia rulings ambazo sisi hatuzielewi ?

Unampa orders nani you yellow, no-good keister, alcoholic, nuckle head ?
 
Nami pia naomba picha ya Mbowe akiwa kimbwetani chuo
Au CA yake semester yoyote kwa somo lolote
Au assignment yake
Hata field report
Ikishindikana basi picha akiwa na joho

Lissu aliwahi watetea wachimbaji wadogo wa madini, nyinyi wenyewe Chadema mlisema hivyo mnakumbuka.
Mbowe hata kumpigania kupatikana kwa katibu wake binafsi Ben Saanane alifanya ilimradi tu.
Lissu kaleta mvurugano mkubwa huko Chadema.
 
nini maana ya chama cha domokrasia maendeleo. Kiongozi mkuu wa chama kukaa kwny uongozi miaka 20?
Demokrasia kutekeleza maamuzi ya watu wengi kwa kutumia katiba. Kama katiba inaruhusu kiongozi kukaa milele, na akatokea anayefanya hivyo, basi huyo anaishi ndani ya mfumo wa kidemokrasia
 
Back
Top Bottom