Lisu alidisco udsm
Bila shaka mwamba akapata first class ya course ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu alidisco udsm
Chawa kichwani hubakiwa na kamasi tu.kwani nimeandika nini? mbona unanijia na lugha kali? uchawa umetoka wapi? uchwa ni tusi, kama siyo tusi basi mimi ni chawa wa mama yako
Umeuliza swali la msingi lakini sadly it's at the wrong time, kipindi hiki kuna misuguano kati ya chawa wa Mbowe na chawa wa Lissu hivyo basi tegemea attacks badala ya majibu ila pia kuna uwezekano ikawa umeuliza swali kinafiki ilhali majibu unayo(kuna uwezekano ukawa ni chawa wa Mbowe).Nina shida na kesi zake naomba mwenye nakala aniwekee hapa. Nimesearch kwenye TANZLII sijapata