Umeuliza swali la msingi lakini sadly it's at the wrong time, kipindi hiki kuna misuguano kati ya chawa wa Mbowe na chawa wa Lissu hivyo basi tegemea attacks badala ya majibu ila pia kuna uwezekano ikawa umeuliza swali kinafiki ilhali majibu unayo(kuna uwezekano ukawa ni chawa wa Mbowe).