EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Hiki cha pili utakua na PDF yake mkuu?
Utakua na PDF ya Tanzania culture and customs
Kitabu hichoHabari za leo ndugu zangu,
Naomba mwenye kitabu kinacho elezea utamaduni wa kitanzania anisaidieni. Maana nasearch mtandaoni kwakweli sioni yeyote aliye andika mambo ya maana kuhusu utamaduni wetu.
Mwenye kitabu kinachoelezea utamaduni wa kitanzania (Tanzanians Culture values and Traditions) naomba anisaidie
Naweza kuangalia store kama bado ipo...Utakua na PDF ya Tanzania culture and custom