stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Anataka kitambu cha machimbo ya kaliakoo 😂😂😂Aliyeelewa pls anisaidie nielewe
Itakuwa ze Laga hapa si bure😂😂🤣Anataka kitambu cha machimbo ya kaliakoo 😂😂😂
Acha kukurupuka mkuu, uenyeji una maana kubwa. Kariakoo kama hauna uenyeji Kuna chimbo ambazo jinzi zinauzwa 500 hutoweza kuzijua kamweHiv kkoo nayo ina machimboe. Hiv kwanini wabongo hawapendi kujishughulisha? Yaan mpaka uambiwe kitu flan kinapatikana sehem flan si uende uzunguke utajua na vingine. Halafu mnawalaumu wachina bure kabisa
Changia bando utumiwe mimi nilinunua 10,000.Kitabu
nicheki pm nikutumieHabari wakuu
Hapa jf tusaidiane
Mwenye kitambu cha machimbo ya bidhaa kaliakoo naomba tusaidiane
Naomben jaman plz
Halafu anajiita stabilityman!Anataka kitambu cha machimbo ya kaliakoo 😂😂😂
Stor za japa. Kama kariakoo yenye eneo la mraba lisilozid klmt 30 kuna chimbo basi tutaendelea kupigwa na wachina mpaka tufe. Sasa ukienda china si ndio utapoteaAcha kukurupuka mkuu, uenyeji una maana kubwa. Kariakoo kama hauna uenyeji Kuna chimbo ambazo jinzi zinauzwa 500 hutoweza kuzijua kamwe
Umeshawahi kufika kariakoo mkuu ukaanza kutafuta bidhaa?Stor za japa. Kama kariakoo yenye eneo la mraba lisilozid klmt 30 kuna chimbo basi tutaendelea kupigwa na wachina mpaka tufe. Sasa ukienda china si ndio utapotea
Upo Kijiji gani kaka?!!!Stor za japa. Kama kariakoo yenye eneo la mraba lisilozid klmt 30 kuna chimbo basi tutaendelea kupigwa na wachina mpaka tufe. Sasa ukienda china si ndio utapotea
Uvivu wa kutembea na kujua jambo jipya ndio shida yetu.Upo Kijiji gani kaka?!!!
Ndg, issue sio kutembea tu hapo; hilo watu tunaweza kuimaliza kariakoo kwa masaa matatu tu. Issue kujua inakofichwa mizigo hiyo (maana mingine sijui ni ya issue?!!). Unaweza kupita sehemu na kuziona bidhaa za kawaida na bei kama za sehemu nyingine tu kumbe ni hapo hapo zinapopatikana za bei chee kuliko.......unaingizwa tu ndani kidogo unapewa mzigo.Uvivu wa kutembea na kujua jambo jipya ndio shida yetu.
KITAMBU KALIAKOOHabari wakuu
Hapa jf tusaidiane
Mwenye kitambu cha machimbo ya bidhaa kaliakoo naomba tusaidiane
Naomben jaman plz