chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 623
- 942
Ukishanikiwa ni PM Mkuu.Habari wakuu
Hapa jf tusaidiane
Mwenye kitambu cha machimbo ya bidhaa kaliakoo naomba tusaidiane
Naomben jaman plz
Ukishanikiwa ni PM Mkuu.Habari wakuu
Hapa jf tusaidiane
Mwenye kitambu cha machimbo ya bidhaa kaliakoo naomba tusaidiane
Naomben jaman plz
Futa kauli yk bingwa. Kariakoo unaijua wewe?Hiv kkoo nayo ina machimboe. Hiv kwanini wabongo hawapendi kujishughulisha? Yaan mpaka uambiwe kitu flan kinapatikana sehem flan si uende uzunguke utajua na vingine. Halafu mnawalaumu wachina bure kabisa
Nipo kkoo huu mwaka wa 25. Hakuna chimbo mkuu ila watu ni wa vivu kuzunguka. Sasa nikikupeleka masoko ya makubwa huko dunian utasemajeFuta kauli yk bingwa. Kariakoo unaijua wewe?
Mimi Naijua kariakoo kabla ya hiyo miaka yako 25 uliyotaja hapa kwa sababu nimewahi kufanya mishe zangu gerezani. Ila kwa jinsi kariakoo ya sasa ilivyo mumbo jumbo suluhisho bora ni kulipia gharama kidogo kupata muongozo wa machimbo kuliko kupoteza muda kuzunguka na kupoteza muda na energy.Nipo kkoo huu mwaka wa 25. Hakuna chimbo mkuu ila watu ni wa vivu kuzunguka. Sasa nikikupeleka masoko ya makubwa huko dunian utasemaje