Mwenye kufahamu aina ya madini yanayopatikana Zanzibar tafadhali

Ya nazi mnayo mengi tu,hayo mengine mkiyapata mtavunja na muungano
Yapo ila munatubania tu kuyachimba,
Madini yenu huko kwa faida yenu ila yetu huku yawe ya wote, hatutaki,
Na siku tukipata nafasi ya kuongea na mjomba putin tutamweleza yote haya
Naona atawaukraine fata tu
 
Mchanga wa bahari pia ni madini yale kama mtoa UZI hufahamu ilo ...
 
Mwenye kufahamu madini yanayopatikana zanzibar tafadhali

Niko Dubai expo 2022 na tayari nimepata wawekezaji wenye nia ya kuwekeza Zanzibar kwenye sekta ya uchimbaji wa madini .

Ninawasilisha
Kule kuna aina 2 tuu:
1). Kasa
2). Chumvi
 
Mwenye kufahamu madini yanayopatikana zanzibar tafadhali

Niko Dubai expo 2022 na tayari nimepata wawekezaji wenye nia ya kuwekeza Zanzibar kwenye sekta ya uchimbaji wa madini .

Ninawasilisha
Mchanga.
 
Huko ipo zanzinite🏃
 
Back
Top Bottom