Mwenye kufahamu aina ya madini yanayopatikana Zanzibar tafadhali

Mwenye kufahamu aina ya madini yanayopatikana Zanzibar tafadhali

Mwenye kufahamu madini yanayopatikana zanzibar tafadhali

Niko Dubai expo 2022 na tayari nimepata wawekezaji wenye nia ya kuwekeza Zanzibar kwenye sekta ya uchimbaji wa madini .

Ninawasilisha
Yapo mengi ila niliyowahi kusikia ni MCHANGA MWEUPE NA MAWE MEUPE
 
Madini yapo ni kwamba muda wa kuyaleta juu ndiyo bado.

Mfano, India, Kenya nk, hawachimbi madini ya aina Tanzanite ila ndiko yanapatikana kwa wingi sana.

So soon zanzibar itangaa kwa uchimbaji wa madini, njoo nao tu hao wawekezaji mje mchimbe Manyara, Geita, Mara nk alafu mzigo unaibukia hapo, stone town minerals market.
 
Kama utani vile kumbe ndio ukweli wenyewe
 
So soon zanzibar itangaa kwa uchimbaji wa madini, njoo nao tu hao wawekezaji mje mchimbe Manyara, Geita, Mara nk alafu mzigo unaibukia hapo, stone town minerals market.
Afu wanayatia tu label ya zenji 😁
 
Mwenye kufahamu madini yanayopatikana zanzibar tafadhali

Niko Dubai expo 2022 na tayari nimepata wawekezaji wenye nia ya kuwekeza Zanzibar kwenye sekta ya uchimbaji wa madini .

Ninawasilisha
Nenda kwenye taasisi za serikali mfano GST( Geological Society Of Tanzania) kwa Tanzania bara, wao wana ramani za kijiolojia zinazoonesha maeneo yote yaliyofanyiwa tafiti na kugundulika kuwa na madini ya aina fulani. Hivo mwekezaji yeyote anapotokea wanampa taratibu zote zinazohusika ili kuanza uchimbaji. Kwa kuanzia tu, Zanzibar inatajwa kuwa na utajiri wa mafuta kutoka baharini, hii ni kwa mujibu wa wataalamu wa jiolojia ya mafuta na gesi (Petroleum geology) kutoka TPDC (Tanzania Petroleum Development Corporation).
 
Hembu tu tuwaachie japo kwa mkataba hawa zenji angalau wa miaka kumi tu, ili tuone kweli wataendelea kiasi hicho wanachodai?
Halafu baadae tunawachukua tena,
Si kwa mkataba?
No problem
Naunga hoja
 
r
Expo 2020 inafanyika dubai
Ndio nikatumia huo msamiati
[/QUOTE]Mbona unakuwa popoma mkuu expo 2020 inafanyika dubai so zanzibar itakuwa kama expo 2020?
 
Mijitu mingine sijui inabanduliwa,
Sasa ya nini kurukia msg za watu kama huezi bila kutukana?
Unajua wengine tuna aleji halafu tukianza hatuachi
Uchoko upeleke huko huko
 
Back
Top Bottom