Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Sijajua anatumia account name ipi katika fb nitajie tafadhaliNilisikia yupo magomeni mwembe chai sasa sina uhakika kama bado yupo hapo au la. Mtafute kwenye facebook
Yuko Moshi wasiliana nae kwa sms/whatsapp kupitia 0767895789Wapendwa
Naomba kujua alipo Dr. ndodi kuna mtu ameniambia anaweza kutibu tatizo langu la kuota ndevu kwa bahati mbaya aliyenipa hizo taarifa kwa sasa hajui alipo, mwenye taarifa zake msaada pls