Mwenye kufahamu alipo Dr. Ndodi

Mwenye kufahamu alipo Dr. Ndodi

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
956
Reaction score
120
Wapendwa.

Naomba kujua alipo Dr. ndodi kuna mtu ameniambia anaweza kutibu tatizo langu la kuota ndevu kwa bahati mbaya aliyenipa hizo taarifa kwa sasa hajui alipo, mwenye taarifa zake msaada pls.
 
Nilisikia yupo magomeni mwembe chai sasa sina uhakika kama bado yupo hapo au la. Mtafute kwenye facebook
 
Yupo Magomeni mkuu Mwembechai uliza Sanitarium Clinic kwa Dr Ndodi
 
Nenda pale Magomeni Mwembe chai.
Ukifika uliza ITUMBI Hotel ndipo alipo.
 
Habari? Naomba mwenye namba ya simu ya mkononi ya Dr Ndodi wa Haleluya Sanitarium clinic anisaidie. Namhitaji kimatibabu. Shukran.
 
0785121212 Yupo Live star tv kila j3 kuanzia 21:45 mpaka 22:30.
 
Wapendwa
Naomba kujua alipo Dr. ndodi kuna mtu ameniambia anaweza kutibu tatizo langu la kuota ndevu kwa bahati mbaya aliyenipa hizo taarifa kwa sasa hajui alipo, mwenye taarifa zake msaada pls
Yuko Moshi wasiliana nae kwa sms/whatsapp kupitia 0767895789
 
Back
Top Bottom