Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 602
- 969
Garama zinategemea na eneo unalotaka kwenda kutalii ikiwemo idadi ya watu, hoteli, usafiri nk.
Kama sijasoma thread na heading yako inasomekaje?Mkuu,nadhani haujasoma uzi vizuri, nimesema gharama za ada ya viingilio na kukodi usafiri!!
Mbuga nimezitaja hapo juu.
Kama sijasoma thread na heading yako inasomekaje?Mkuu,nadhani haujasoma uzi vizuri, nimesema gharama za ada ya viingilio na kukodi usafiri!!
Mbuga nimezitaja hapo juu.
Nataka niende moja wapo kati ya hizo kwa siku moja tu, silali mbugani, nilitaka nijue gharama za usafiri na ada ya viingilio na pia kumlipa tour guide..Andaa dollars 1800 tour ya siku 3
Tarangire, manyara na ngorongoro
Ya
Usafiri
Lodging
Camping
Entrance fees na meal (lunch box)
Ndio ndioSh 360,000 siku tatu huduma zote. Safari inaanzia Arusha. Kwa maelezo zaidi follow page ya @waziridelo - Instagram