Mwenye kufahamu gharama za utalii wa ndani Arusha!!

Mwenye kufahamu gharama za utalii wa ndani Arusha!!

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
602
Reaction score
969
Wakubwa heshima kwenu!

Ninaomba mwenye kujua gharama za kufanya utalii wa ndani katika mbuga zilizopo Arusha ikiwemo ada ya viingilio pamoja na gharama za kukodi gari!!
Mbuga zenyewe ni pamoja na ngorongoro, Tarangire na manyara
 
Garama zinategemea na eneo unalotaka kwenda kutalii ikiwemo idadi ya watu, hoteli, usafiri nk.
 
Mkuu,nadhani haujasoma uzi vizuri, nimesema gharama za ada ya viingilio na kukodi usafiri!!
Mbuga nimezitaja hapo juu.
Garama zinategemea na eneo unalotaka kwenda kutalii ikiwemo idadi ya watu, hoteli, usafiri nk.
 
Andaa dollars 1800 tour ya siku 3
Tarangire, manyara na ngorongoro

Ya
Usafiri
Lodging
Camping
Entrance fees na meal (lunch box)
 
Andaa dollars 1800 tour ya siku 3
Tarangire, manyara na ngorongoro

Ya
Usafiri
Lodging
Camping
Entrance fees na meal (lunch box)
Nataka niende moja wapo kati ya hizo kwa siku moja tu, silali mbugani, nilitaka nijue gharama za usafiri na ada ya viingilio na pia kumlipa tour guide..

Kama ni ngoro ngoro basi gari nikaikodishe pale karatu
 
Kwa kuanzia tu, soma hapa kabla kina Tariq hawajaja...
Arusha kuna mbuga:
Arusha national park.
Ngorongoro national park.
Tarangire national park.
n.k

Kukodi gari kuanzia 200,000 kwa siku inategemea na kampuni.
Kiingilio mbugani shs 10,000.
 
Sh 360,000 siku tatu huduma zote. Safari inaanzia Arusha. Kwa maelezo zaidi follow page ya @waziridelo - Instagram
 
Back
Top Bottom