Upo wapi? Na umeandaa kiasi gani kwa ajili ya airpods nzuri?? Nicheki chapHabarini ndugu zangu, nimenunua simu aina ya iphone, baada ya kukaa kwenye android kwa miaka yote ambayo nimetumia simu nikaona ngoja niingie kwenye ulimwengu wa iphone ili nionje hali ya hewa na uko pia.
Sasa nataka kujua ni wirelee earphone gani ambazo ni bei rahisi na zenye kutoa mziki mzuri na zinazokaa na chaji ili ninunue maana nikisema niingie mtandaoni naona zipo airpods nyingi mnooo mpaka zinanichanganya, kutokana na experince yenu wana JamiiForum ndio imenisukuma kuja kuuliza, natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa, nawasilisha.
Weka hapa kama unazo..unaweza kupata wengine zaidi ya huyoUpo wapi? Na umeandaa kiasi gani kwa ajili ya airpods nzuri?? Nicheki chap
SafiAirpods 500k airpods pro 2 750k kwa tech36
Natumia hii kitu wiki ya3 sasa sijajutia kabisaa,zinakaa na chaji muda mrefu sanaOraimo freePods 3 90k ni nzuri na Bei ndogo
Kwa upande wa mdundo zikoje?nafikilia kuzinunuaChukua Oraimo free pods 3 Bei 70k tu. Zipo vizuri Kwa kweli.
Upo wapi? Na umeandaa kiasi gani kwa ajili ya airpods nzuri?? Nicheki chap
Upo wapi? Na umeandaa kiasi gani kwa