Jaman sikuleta,huu uzi watu watu wabishane ,au kutukanana ,hasa katika Dini ,maana sikuuliza swali la dini ,bali niliuliza swali la utawala wa saud ,asili yao ,japo historia yake naijua ,ila nilitaka niongezewe ,na matarajio yangu ningepata mengi mapya eidha ambayo sijajui,
kinyume chake mmetoka kwenye mada na kwenda mbali zaidi,
kama huijui dini ya mtu bora ukauliza ili watu wakuelekeze wapi utakwenda kusoma vitabu vya tarekh kujua Historia halisi ya uislam ,ulianzia wapi ,na kina nani walifanikiwa kusimamisha dola la kiislam..
Vipo vitabu vya Tarekh(historia)ambavyo ni marejeo ya uislam ,ambapo vinaeleza historia nzima ya dola ya kiislam ,
Naomba turudi kwenye mada nimeuliza Asili ya utawala wa suudia ,ambapo mpalestina Mchizi alianza vizuri,
Nachotaka kujua kipi kimefanya huu utawala wa wasuud kuendelea kuwepo madarakani mpaka sasa maana tawala nyingi za kifalme zimeangushwa ,lakini tawala hii imeendelea kuimarika,
Nilishawahi kuskia ,kwamba mwasisi wa utawala huu alingia makubaliano na wamarekani kuwa wataulinda huu utawa mpaka mwisho,
je yalikuwa makubalino gani?
Ndo vitu navyotaka kujua ,