Ni wapi nimesema Madina ni nchi? Unaweza kunionesha?Madina sio Nchi, hiyo katiba ya Madina inatokea wapi?
Madina, Makkah, Riyadh na miji mingineyo iko Nchini Saud Arabiah.. Serikali inayotawala Nchi hiyo inaitwa Almamlakat Al-arabiyyat As-su'udiyyah
Naomba nikurekebishe hapa.. Ghuba ya Uajemi au Persian gulf ni tofauti kabisa na bahari ya Sham au Red Sea.= Falme ya Kiarabu Ya Saud
= Bahari ya Sham na Ghuba ya Uajemi ni moja.
Nadhani kwa usahihi zaidi ungeandika Bahari ya Sham Mashariki na Bahari Nyekundu Magharibi.
Ni wapi nimesema Madina ni nchi? Unaweza kunionesha?
Nimemwambia bibi akasome aache uvivu ili apate huo ukweli niliomwambia...sasa sio vibaya nawewe ukifanya hivyo.
Naomba nikurekebishe hapa.. Ghuba ya Uajemi au Persian gulf ni tofauti kabisa na bahari ya Sham au Red Sea.
Kaangalie vizuri tena vitabu vyako vya Jiografia.
Punguan babaakoWewe shukuru umejifunza kitu kipya ulikuwa hujui kuwa bahari ya ghuba ya Uajemi na bahari ya Sham ni hiyo hiyo moja pia huitwa Arabian Sea.
Hauwezi kuelezea ndivyo sivyo kwenye uzi wa wazi na nnapokufahamisha unasema "haikuhusu".
Tumianeni PM kama haituhusu.
Punguani wahed.
khadija si huyu hapa mtalaka yupo jf anajiita Faiza FoxyNinachojua ni kwamba yule aliyesingiziwa kuwa hajui kusoma wala kuandika yaani Mu'amad Ibn Abdullah maarufu kama Mtume Muhammad (S.A.W) ndiye aliyeandika katiba ya Mecca.
Mecca ni eneo muhimu zaidi ndani ya nchi ya Saudi Arabia.
Wakati huo alikuwa amejaaliwa kuwa na mke mmoja tu wa kwanza Bi Khadija.
Ahsante sana kwakumatia ilim ya bure.Hahahahaha. Ni heri umekiri kuwa umekosea.
Hiyo ya Madinah labda tukupe darsa ufaidike.
Hakuna katiba katika Uislam zaidi ya Qur'an. Qur'an ime cover kila kitu kwa walimwengu wote.
Kwakumatia [emoji780]Ahsante sana kwakumatia ilim ya bure.
Punguan babaako
Kuna mtafaruku kuhusu hili,kuna wanaosema jina sahihi ni Arabian gulf na wakaazi wengi wa gulf hiyo ni waarabu na siyo waajemi.Ghuba ya Uajemi au Persian gulf
Si kweli.
Muhammad Sala Allahu Alayhi Wasalaam hajaandika katiba yoyote.
Hayo ya katiba labda ni mambo yenu ya kanisani.
Hahahahaha. Ni heri umekiri kuwa umekosea.
Hiyo ya Madinah labda tukupe darsa ufaidike.
Hakuna katiba katika Uislam zaidi ya Qur'an. Qur'an ime cover kila kitu kwa walimwengu wote.
Lakini waanzilishi Wa dini ya kiislamu ni warumi kama ulikuwa hujui Mohd SAW alitumika kama kiunganishi
Imecover kwa waislamu tuu na sio kwa wote
Mimi siamini katika iyo dini yako
Mimi naamini Yesu kristo mwana Wa Mungu aliyetukomboa katika dhambi na kiunganishi pekee kati yetu na Mwenyezi Mungu