Mwenye kujua hii kapuni ya Tese & Techno Engineering

28October

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2020
Posts
285
Reaction score
363
Habarini ndugu zangu, naomba kujua hii kampuni TESE & TECHNO ENGINEER japo kwa undani ili niweze kwenda maana wamenipigia simu niende kwenye interview na mimi nipo KATAVI KWA SASA, naombeni msaada wenu wakuu niijue iyo kampuni ilipo..
 
Njoo Dsm nyuma ya mpingo house miaka mingi walikuwa pale
 
Dunia imebadilika, nakutahadharisha kuwa makini zaidi ya unavyo fikiria, wimbi la utapeli limekuwa kubwa mno usije kurudi Sitalike unalia lia tena kwa kuchangiwa nauli na wasamaria wema.[emoji2957]
 
ndio maana nataka kujua mkuu.
 
Habarini ndugu zangu, naomba kujua hii kampuni TESE & TECHNO ENGINEER japo kwa undani ili niweze kwenda maana wamenipigia simu niende kwenye interview na mimi nipo KATAVI KWA SASA, naombeni msaada wenu wakuu niijue iyo kampuni ilipo..
1637916105656.png

Piga hizo namba
1637916105656.png
1637916105656.png
 
Back
Top Bottom