Mwenye kujua hizi dalili za tumbo naomba anisaidie remedies zake. I think am dying

Mwenye kujua hizi dalili za tumbo naomba anisaidie remedies zake. I think am dying

HUKU ABROAD

Senior Member
Joined
Nov 20, 2020
Posts
127
Reaction score
218
Nina maumivu sehem za tumbo upande wa kushoto wa tumbo na kupanda Hadi sehem karibu na moyo.

Please mwenye kujua tatizo anisaidie Hata ushaut nini cha kufanya
 
Nenda hospital.

utapatiwa matibabu na utapona ndugu mtanzania mwenzangu.
 
Ukos serious mkuu?
Nenda hospitali ila unatakiwa ujue kuna watu wanaumwa vitu vizito kuliko hiko na hawajakata tamaa ...kukata tamaa ndo tatizo lako tukiachana na hayo unayotaja
 
jibu
Je, unapata kiungulia? harufu na uchungu mdomoni? Unahisi kutapika? gesi tumboni na kukosa hamu yakula? Kama utajibu ndio moja kati ya maswali haya una hernia ya juu (gastric hernia).
Muone daktari na acha kula mchele mpka upate matibabu, wahi hospital ukichelewa surgery itakuhusu. Kama utahitajika kufanya surgery rudi jamvini kwanza
 
Back
Top Bottom