Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 468 Reaction score 619 Nov 1, 2022 #1 Habari za leo wakuu,hebu mwenye kufahamu kuhusu hii kitu iitwayo twiga force anijuze.Natanguliza shukrani
Habari za leo wakuu,hebu mwenye kufahamu kuhusu hii kitu iitwayo twiga force anijuze.Natanguliza shukrani
Lyetu JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 1,268 Reaction score 3,429 Nov 1, 2022 #2 Nimewahi kutumia dawa inaitwa Twiga force kwajili ya kuua kunguni,
0ozg Tz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 4,155 Reaction score 11,168 Nov 1, 2022 #3 Kuna dawa inaitwa Lava ukiichanganya na hiyo Twiga force kunguni anakufa mpaka na mayai yake
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Nov 1, 2022 #4 Kaluluma said: Habari za leo wakuu,hebu mwenye kufahamu kuhusu hii kitu iitwayo twiga force anijuze.Natanguliza shukrani Click to expand... Kalynda e commerce wamekuja kivingine
Kaluluma said: Habari za leo wakuu,hebu mwenye kufahamu kuhusu hii kitu iitwayo twiga force anijuze.Natanguliza shukrani Click to expand... Kalynda e commerce wamekuja kivingine