Mwenye kujua mbinu za kusevu pesa aniambukize jamani,

nimekuelewa mkuu, hii nliwai cheza ila tatizo nlicheza la dau kubwa, mwishowe nlijitoa,,

itabidi nitafute wa dau ndogo
 
hii biashara nlishafungua mradi wa kwanza ukayumba, nikabadili napo nkayumba, nikaona oooh, nikafunga kabisa,,
 
Nilipata zero somo la ku save.. Najua kuna siku nitatia akili. Hapo ndio nitaanza ku save, saivi acha nile maisha kwanza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…