Mwenye kujua mbinu za kusevu pesa aniambukize jamani,

Mwenye kujua mbinu za kusevu pesa aniambukize jamani,

Kama umeajiriwa tafuta walioajiriwa wenzako angalau muwe watatu muanze kucheza mchezo

Piga hesabu ya pesa ya kula tu ndo ubaki nayo iliyobaki iwe ndo kiwango cha mchezo.
Mfano unalipwa 10,000 kwa mwezi unakula 3000 kwa, baki na 3000 ya kula kwa mwezi....alafu buku 7 nzima ndo iwe kiwango cha mchezo wenu.

Hii itakusaidia kumake pesa unafanya jambo kubwa ukizipata.
nimekuelewa mkuu, hii nliwai cheza ila tatizo nlicheza la dau kubwa, mwishowe nlijitoa,,

itabidi nitafute wa dau ndogo
 
ukipata pesa tenga zaka na sadaka peleka kanisani/msikitini, baada ya hapo anza kupanga matumizi, tenga asilimia ya akiba mf. 5% ya mshahara wako, fungua miradi ukiwa na chanzo kimoja cha miradi hutokuja utunze fedha, namna bora ya kutunza fedha ni kufungua miradi, wasaidie wazazi, hii itakuletea baraka na mafanikio katika kazi/biashara zako
hii biashara nlishafungua mradi wa kwanza ukayumba, nikabadili napo nkayumba, nikaona oooh, nikafunga kabisa,,
 
Nilipata zero somo la ku save.. Najua kuna siku nitatia akili. Hapo ndio nitaanza ku save, saivi acha nile maisha kwanza..
 
Back
Top Bottom