Mwenye kujua mbinu za kusevu pesa aniambukize jamani,

Mwenye kujua mbinu za kusevu pesa aniambukize jamani,

Huu uzi ulenivutia kwasababu nimejaribu kutunza fedha kwa ajili ya projects na mara nyingi bila ya sababu ya msingi Nimekua nikizitumia au kumsaidia mtu na kuanza upya.

Hiyo mbinu namba 1 ndiyo imekua mkombozi kwenye projects zangu nyingi japo ni muhimu sana kuiangalia Riba ya mkopo....
poa mkuu
 
hobby ya kwanza napenda soccer

hobby ya pili napenda kusikiliza music

hobby ya tatu kwa sasa ni kubet [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
hapa nachaniwa mikeka kishenz [emoji16] [emoji16] [emoji16]
M nabet weekends tu,tena mechi zenye uhakika na odds sizidishi 10 hata iweje kwa siku sizidishi tsh elfu 30, nina faida ya laki 7 hadi sasa kwa kipindi hiki cha miezi mi3 tangu nlipoanza kutumia njia hii,hapa ni hadi september ndio ntaanza tena.
 
embu mkuu unipe na hi njia PM
 
Amka saa 12 asubuhi, lala saa 3 usiku. Acha pombe, sigara na uzinzi na mwisho kabisa tafuta mwanamke unaeendana uoe.

Mkuu hii ni kweli tupuuu... shida kuifanikisha sasa. Hapa hata marafiki inabidi uwakimbie . Ni ngumu asee jumlisha na kiu ya safari bariidii kama barafu au serengeti lite baridi! Woooiii
 
Mkuu hii ni kweli tupuuu... shida kuifanikisha sasa. Hapa hata marafiki inabidi uwakimbie . Ni ngumu asee jumlisha na kiu ya safari bariidii kama barafu au serengeti lite baridi! Woooiii
[emoji2] [emoji119]
 
Jenga kibubu cha chuma funga na kufuli tupa funguo

Mkuu nakumbuka mimi nilishawahi kufanya hivyo kipindi fulani, ile kofuli kila siku nikawa naivuta vuta mwisho wa siku nikaipiga rungu moja tu ikaachia nikatoa pesa. [emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
 
  • Thanks
Reactions: sab
Mkuu nakumbuka mimi nilishawahi kufanya hivyo kipindi fulani, ile kofuli kila siku nikawa naivuta vuta mwisho wa siku nikaipiga rungu moja tu ikaachia nikatoa pesa. [emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Kufuga kibubu kunahitaji moyo sana, ili kistawi lazima vizuri uwaachie wengine wafaidi wewe ule kwa macho tu
 
haha haha nilinunua shamba mzee baba
Hahaha...Safi sana.

Vipi Bajeti umefanikiwa?

Mi hapa nimefulia; nina Miaka 3 kazini,lakini Sina Akiba ya Pesa yoyote.[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] .

Nikaukumbuka huu uzi, nikasema niutafute, walau nijikumbushe Point za wadau.
 
hahaha hahaha, nimeanza kusave aiseeh,,
 
nimetafuta sehemu salama ndani naweka, wala sina kibox bubu, wala siweki mpesa, wala siweki bank,

naweka home tu, ili hata ikitokea dharura inatatua
 
Unaweza ukawa na million mia bank ikawa haina faida kwako kwasababu haiko katika mzunguko wa fedha akiba nzuri ni ile inayozunguka na kukupa faida kwa siku,wki,mwez,had mwaka ile inayokaa haina maana ni sawa na pambo na Mara nying akiba tunazoweka huishia katika matatizo na starehe nyingne lakin pesa iliyo katika mzunguko hata uwe na shida huwez ipata mana iko katika mizunguko kuweka akiba bank inahataj moyo mkubwa na uwe na mtaji mkubwa sana kiasi kwamba wew pesa yako ni ya kuweka tu
 
Back
Top Bottom