1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #61
poaPole sana mkuu, ngoja nitarudi!
Bet kuanzia laki /game ya uhakika hasa za league. acha kubet michezo mingi kwa 500. uefa au world cup sio game rafiki sana hazitabiliki utachaniwa mkeka mpaka uote upara.hobby ya kwanza napenda soccer
hobby ya pili napenda kusikiliza music
hobby ya tatu kwa sasa ni kubet [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
hapa nachaniwa mikeka kishenz [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Epuka yafuatayo:-tafadhali wajuzi mnijuze.[emoji16]
Anza mwanzoni mwa mwezi wa sita from income ya may...kwa hiyo kwa mfano nianze huu mwez wa 6, alafu wa saba ndo naanza kusave?
poa mkuuBet kuanzia laki /game ya uhakika hasa za league. acha kubet michezo mingi kwa 500. uefa au world cup sio game rafiki sana hazitabiliki utachaniwa mkeka mpaka uote upara.
hongera umejitambuaMimi nilipataga hela nikiwa bado mdogo, nilianza starehe na pombe, nikafulia ndo akili kunirudia sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu pesa ndo ikaadimika kinyama sasa.
Ukipata hela akili huwa zinahama, ukizikosa ndo zinakurudi unaanza kukumbuka miradi ya maana ambayo ungeifanya ili ikunufaishe.
Siri kubwa na chungu ya kutunza fedha ni kuwa bahili tu.
Hizo zingine utasubiri saaaaana.
poa mkuuEpuka yafuatayo:-
[emoji843]Sifa za kijinga kujifanya unaenda na wakati.
[emoji843]Acha kushindana.
[emoji843]Epuka wadada/kuhonga
[emoji843]Ulevi na ngono
[emoji843]Huruma za kipumbavu kwa ndugu
[emoji843]Choose your own lifestyle.
poami pia ni mhanga.Ila nimepata somo kwa baadhi ya comment hapa.
Kaza mjomba life siyo lelemamahongera umejitambua
poaKaza mjomba life siyo lelemama
Hapo kwenye kibubu tutaongopeana, kuna mtu alitoa 10000 tu! kwenye kibubu cha chuma kabla ya malengoNunua kibubu.
tafadhali wajuzi mnijuze.[emoji16]
Siwezi kukushauri kitaalam maana hujasema aina ya matumizi yako au mambo unayodhani yanakufanya usiweze kusave kwani inaweza kuwa labda kipato chako ni kidogo kana kwamba hata mahitaji ya msingi huwezi kuyatimiza, siwezi kukushauri usave kwa kukwepa kula. Taja kipato chako na matimizi yake.tafadhali wajuzi mnijuze.[emoji16]
Utakibomoa tu...ahahaJenga kibubu cha chuma funga na kufuli tupa funguo