Mwenye kujua mbinu za kusevu pesa aniambukize jamani,

Mwenye kujua mbinu za kusevu pesa aniambukize jamani,

hobby ya kwanza napenda soccer

hobby ya pili napenda kusikiliza music

hobby ya tatu kwa sasa ni kubet [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
hapa nachaniwa mikeka kishenz [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Bet kuanzia laki /game ya uhakika hasa za league. acha kubet michezo mingi kwa 500. uefa au world cup sio game rafiki sana hazitabiliki utachaniwa mkeka mpaka uote upara.
 
Mimi nilipataga hela nikiwa bado mdogo, nilianza starehe na pombe, nikafulia ndo akili kunirudia sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu pesa ndo ikaadimika kinyama sasa.

Ukipata hela akili huwa zinahama, ukizikosa ndo zinakurudi unaanza kukumbuka miradi ya maana ambayo ungeifanya ili ikunufaishe.

Siri kubwa na chungu ya kutunza fedha ni kuwa bahili tu.

Hizo zingine utasubiri saaaaana.
 
Bet kuanzia laki /game ya uhakika hasa za league. acha kubet michezo mingi kwa 500. uefa au world cup sio game rafiki sana hazitabiliki utachaniwa mkeka mpaka uote upara.
poa mkuu
 
Mimi nilipataga hela nikiwa bado mdogo, nilianza starehe na pombe, nikafulia ndo akili kunirudia sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu pesa ndo ikaadimika kinyama sasa.

Ukipata hela akili huwa zinahama, ukizikosa ndo zinakurudi unaanza kukumbuka miradi ya maana ambayo ungeifanya ili ikunufaishe.

Siri kubwa na chungu ya kutunza fedha ni kuwa bahili tu.

Hizo zingine utasubiri saaaaana.
hongera umejitambua
 
Epuka yafuatayo:-

[emoji843]Sifa za kijinga kujifanya unaenda na wakati.
[emoji843]Acha kushindana.
[emoji843]Epuka wadada/kuhonga
[emoji843]Ulevi na ngono
[emoji843]Huruma za kipumbavu kwa ndugu
[emoji843]Choose your own lifestyle.
poa mkuu
 
Nilikuwa na tatizo kama lako Ila nikajiunga na Saccoss wakawa wananikata kila mwez..sababu kwenye Saccoss huwez kufanya withdrawal whenever you want..labda ukope au aombe kujitoa uanachama ambapo unarudishiwa pesa zote ulizojiwekea akiba..hii imenisaidia sana coz saivi naweza kumonitor matumizi yangu.
Plan B.. ukipata kipato chako usikurupuke kwenda bank kutoa..andika kwenye karatasi nini unataka kufanya Na hiyo hela na gharama yake.

Kila la kheri
 
tafadhali wajuzi mnijuze.[emoji16]
Siwezi kukushauri kitaalam maana hujasema aina ya matumizi yako au mambo unayodhani yanakufanya usiweze kusave kwani inaweza kuwa labda kipato chako ni kidogo kana kwamba hata mahitaji ya msingi huwezi kuyatimiza, siwezi kukushauri usave kwa kukwepa kula. Taja kipato chako na matimizi yake.
 
Back
Top Bottom