Hahaha...una Miaka mingapi kazini?Bora nile bata mda huu sina majukumu mengi zaidi ya kujilisha kujivika na kujilaza..
Nikiwa na majukumu zaidi ya haya nita save.. Saizi nakula bata kwanza baadae huko Mungu akijalia uhai kitaeleweka tu.
Saivi nahitaji uhakika wa kunywa walau beer tatu kwa siku na kula vizuri kila siku. Hayo mengine kwangu bado naona itakuwa too much
Haahhaha...Mi nipo Bar now...nimeamua kumalizia hii hela ili nisubiri Mshahara mpyahahaha kufuli ntaivunja nkichacha[emoji16]
Basi apeleke kanisani au msikitini wamuwekee hazina mbinguniUtakibomoa tu...ahaha
Nina tatizo kama lako. Nakereka mnooo
AsantePole mwaya
Sasa mkuu, Usipohonga joto utalipataje?Acha kuhonga
Hiyo ya kubeti asee...hahaha..Jaribu kuiacha, mi mwenyewe ni muhanga wa kubeti....asee, Tangu nianze kubeti ndo mwanzo wa kuishiwa hela, Zamani nilikuwa na ziada ya hela...ila siku hizi hela mifukoni sizioni, kidogo tu kubeti.hobby ya kwanza napenda soccer
hobby ya pili napenda kusikiliza music
hobby ya tatu kwa sasa ni kubet [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
hapa nachaniwa mikeka kishenz [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Eti mkuu, We unatumia cha mbao au cha Compressor?Nunua kibubu.
tafadhali wajuzi mnijuze.[emoji16]
Kusave pesa haijawahi kuwa kazi rahisi mkuu, hata kama mshahara ni mkubwa, utajitahidi kuzitunza lakini zitaisha tu bila hata kutegemea na ukijiuliza cha maana ulichofanyia wakati mwingine hukioni.
Nakushauri kama umeona umeshindwa kabisa fanya haya yafuatayo:
1. Tafuta project ya kufanya halafu kakope pesa benki utakuwa unarejesha polepole kulingana na utaratibu utakowekwa.
2. Nasikia kuna account zinaitwa malengo account kwenye mabenki kadhaa, kaziweke huko kwa muda utakaokuwa umeridhia mwenyewe kulingana na utaratibu wa benki husika.( japo hii siiafiki sana ).
Nimezungumzia kwa wale waajiriwa na pesa yao inakatwa moja kwa moja kwenye mshahara, kitakachokuwa kimebaki naamini utakitumia kwa nidhamu ya hali ya juu.
Kwa waliojiajiri wenyewe nawashauri waongeze mtaji kutoka kwenye faida wanayopata, kuwa na pesa nyingi zilizotunzwa ni kukaribisha ibilisi hatari sana wa matumizi.
Kwa wale walioweza kutunza pesa kwa muda mrefu niwapongeze sana maana ni kipaji na uvumilivu wa hali ya juu sana.
Kwa sasa ni hayo tu mkuu.
Naanza kuielewa hiiAmka saa 12 asubuhi, lala saa 3 usiku. Acha pombe, sigara na uzinzi na mwisho kabisa tafuta mwanamke unaeendana uoe.
Kweli kabisa.... Pia achana na simu banking nikimaanisha usiwe access ya haraka ya kutoa pesa.Mimi ATM kadi yangu ili expire, sija renew ,pesa ikiingia huko mpaka niitoe nipange mstari so uwa naiachaga tu nategemea mishe zingineTengeneza buget...cut unnecessary spending. Nununua vitu vya jumla mwazoni mwa mwezi....alafu hela ya matumizi madogo madogo kama nauli weka home. Kila siku unaandika matumizi yako hata kama ni sh. 100. Living within a budget inanisaidia sana kusave
Sio cha mbao..nasikia vya mbao vina chuma uleteEti mkuu, We unatumia cha mbao au cha Compressor?
Inamaana alivyoweka elfu kumi. Akapwatwa na shida amaHapo kwenye kibubu tutaongopeana, kuna mtu alitoa 10000 tu! kwenye kibubu cha chuma kabla ya malengo
ntakitafutaTafuta kitabu changu nilicho andika mwaka jana kinachosema "HOFU YA NINI: Matumizi bora ya kipato kwa maendeleo ya jamii au binafsi. kitakusaidia kuwa na mpangilio mzuri wa mapato yako. vipo Bookshop nyingi labda viwe vimeisha natumai utavipata
mzee baba hii kuacha ngumu, nliwai pga milion 1, [emoji2]Hiyo ya kubeti asee...hahaha..Jaribu kuiacha, mi mwenyewe ni muhanga wa kubeti....asee, Tangu nianze kubeti ndo mwanzo wa kuishiwa hela, Zamani nilikuwa na ziada ya hela...ila siku hizi hela mifukoni sizioni, kidogo tu kubeti.
Nimejiamulia kuacha kubeti, Nikishindwa sana nitapunguza.
Ila Kubeti Big NO.
tuko pamojaNaendelea kuona namna wanavyoambukiza