1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #101
poa mkuuHuu uzi ulenivutia kwasababu nimejaribu kutunza fedha kwa ajili ya projects na mara nyingi bila ya sababu ya msingi Nimekua nikizitumia au kumsaidia mtu na kuanza upya.
Hiyo mbinu namba 1 ndiyo imekua mkombozi kwenye projects zangu nyingi japo ni muhimu sana kuiangalia Riba ya mkopo....
M nabet weekends tu,tena mechi zenye uhakika na odds sizidishi 10 hata iweje kwa siku sizidishi tsh elfu 30, nina faida ya laki 7 hadi sasa kwa kipindi hiki cha miezi mi3 tangu nlipoanza kutumia njia hii,hapa ni hadi september ndio ntaanza tena.hobby ya kwanza napenda soccer
hobby ya pili napenda kusikiliza music
hobby ya tatu kwa sasa ni kubet [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
hapa nachaniwa mikeka kishenz [emoji16] [emoji16] [emoji16]
embu mkuu unipe na hi njia PMM nabet weekends tu,tena mechi zenye uhakika na odds sizidishi 10 hata iweje kwa siku sizidishi tsh elfu 30, nina faida ya laki 7 hadi sasa kwa kipindi hiki cha miezi mi3 tangu nlipoanza kutumia njia hii,hapa ni hadi september ndio ntaanza tena.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119]mzee baba hii kuacha ngumu, nliwai pga milion 1, [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimejikuta nacheka kwa nguvu daah!hii ya m power nlijaribu lakini nlivokopa, sikurejesha tena,
hahaha [emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimejikuta nacheka kwa nguvu daah!
Amka saa 12 asubuhi, lala saa 3 usiku. Acha pombe, sigara na uzinzi na mwisho kabisa tafuta mwanamke unaeendana uoe.
[emoji2] [emoji119]Mkuu hii ni kweli tupuuu... shida kuifanikisha sasa. Hapa hata marafiki inabidi uwakimbie . Ni ngumu asee jumlisha na kiu ya safari bariidii kama barafu au serengeti lite baridi! Woooiii
Jenga kibubu cha chuma funga na kufuli tupa funguo
Kufuga kibubu kunahitaji moyo sana, ili kistawi lazima vizuri uwaachie wengine wafaidi wewe ule kwa macho tuMkuu nakumbuka mimi nilishawahi kufanya hivyo kipindi fulani, ile kofuli kila siku nikawa naivuta vuta mwisho wa siku nikaipiga rungu moja tu ikaachia nikatoa pesa. [emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Nahisi ulivyopiga hiyo M, ukainywea yote[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119]mzee baba hii kuacha ngumu, nliwai pga milion 1, [emoji2]
haha haha nilinunua shamba mzee babaNahisi ulivyopiga hiyo M, ukainywea yote[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119]
Hahaha...Safi sana.haha haha nilinunua shamba mzee baba
hahaha hahaha, nimeanza kusave aiseeh,,Hahaha...Safi sana.
Vipi Bajeti umefanikiwa?
Mi hapa nimefulia; nina Miaka 3 kazini,lakini Sina Akiba ya Pesa yoyote.[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] .
Nikaukumbuka huu uzi, nikasema niutafute, walau nijikumbushe Point za wadau.
Njia gani umetumia asee? Namimi nianze?hahaha hahaha, nimeanza kusave aiseeh,,
chukua pato la mwezi x 0.2Njia gani umetumia asee? Namimi nianze?