Mwenye kujua mbinu za kusevu pesa aniambukize jamani,

Tengeneza buget...cut unnecessary spending. Nununua vitu vya jumla mwazoni mwa mwezi....alafu hela ya matumizi madogo madogo kama nauli weka home. Kila siku unaandika matumizi yako hata kama ni sh. 100. Living within a budget inanisaidia sana kusave
 
punguza bata
Bora nile bata mda huu sina majukumu mengi zaidi ya kujilisha kujivika na kujilaza..

Nikiwa na majukumu zaidi ya haya nita save.. Saizi nakula bata kwanza baadae huko Mungu akijalia uhai kitaeleweka tu.

Saivi nahitaji uhakika wa kunywa walau beer tatu kwa siku na kula vizuri kila siku. Hayo mengine kwangu bado naona itakuwa too much
 
ohh, hii nliwai kuifikilia lakini sikuijaribu, ngoja nijaribu nione,,

kwa hiyo umeshaanza kusave?
 
Bora nile bata mda huu sina majukumu mengi zaidi ya kujilisha kujivika na kujilaza..

Nikiwa na majukumu zaidi ya haya nita save.. Saizi nakula bata kwanza baadae huko Mungu akijalia uhai kitaeleweka tu.

Saivi nahitaji uhakika wa kunywa walau beer tatu kwa siku na kula vizuri kila siku. Hayo mengine kwangu bado naona itakuwa too much
mmmmmh, we noma
 
hahaha kufuli ntaivunja nkichacha[emoji16]
Basi hakuna njia nyingine , maana bila wewe nwenyewe kuamua hata umpe mtu akuwekee bado utamsumbua akupe pesa zako , funga tumbo , usitamani tamani vitu njiani nk
 
Komaa tu kiongozi, tafuta kitu kimoja ambacho ni hobby yako kigeuze kuwa fursa/biashara ukomae nacho!
hobby ya kwanza napenda soccer

hobby ya pili napenda kusikiliza music

hobby ya tatu kwa sasa ni kubet [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
hapa nachaniwa mikeka kishenz [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
ukipata pesa tenga zaka na sadaka peleka kanisani/msikitini, baada ya hapo anza kupanga matumizi, tenga asilimia ya akiba mf. 5% ya mshahara wako, fungua miradi ukiwa na chanzo kimoja cha miradi hutokuja utunze fedha, namna bora ya kutunza fedha ni kufungua miradi, wasaidie wazazi, hii itakuletea baraka na mafanikio katika kazi/biashara zako
Huo ni unyonyaji
 
hobby ya kwanza napenda soccer

hobby ya pili napenda kusikiliza music

hobby ya tatu kwa sasa ni kubet [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
hapa nachaniwa mikeka kishenz [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Pole sana mkuu, ngoja nitarudi!
 
Back
Top Bottom