Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni self-searching,,kujichunguza ulipotoka,ulipo na uendakoUtasikia nilikuwa nafanya moja mbili tatu kipindi najitafuta, au jitafute ww ni nani, usipojitafuta utakufa maskini
Jamani ivi kujitafuta inakuwaje mwenye kujua japo kwa uchache atupe ABC na sisi tuanze hio hatua ya kujitafuta
Kama inakujakuja hiviNi self-searching,,kujichunguza ulipotoka,ulipo na uendako
unataka akatongoze kwa wakwe?😁Vuta bangi mkuu halafu uende ukweni, lazima utajipata tu.
mkuu kujitafuta ni kukomaa hadi kieleweke, unafanya kila namna ili mambo yaende,ukishapata ndo umejipata.Utasikia nilikuwa nafanya moja mbili tatu kipindi najitafuta, au jitafute ww ni nani, usipojitafuta utakufa maskini
Jamani ivi kujitafuta inakuwaje mwenye kujua japo kwa uchache atupe ABC na sisi tuanze hio hatua ya kujitafuta
😁 hii hadithi yako haina tofauti na ile ya samson na Delilah, kumbuka yeye hana mtu nyuma yake, akikosa ni analala njaa kweli!Usijichoshe kula maisha, unajitafuta karibu na kujipata unakufa. Sa ndo mambo gani?? Unaacha ugomvi kwa ndugu tu!!!!
[emoji16] hii hadithi yako haina tofauti na ile ya samson na Delilah, kumbuka yeye hana mtu nyuma yake, akikosa ni analala njaa kweli!
Kauli ya kishujaa unaposhindwa kutoboa mapemaUtasikia nilikuwa nafanya moja mbili tatu kipindi najitafuta, au jitafute ww ni nani, usipojitafuta utakufa maskini
Jamani ivi kujitafuta inakuwaje mwenye kujua japo kwa uchache atupe ABC na sisi tuanze hio hatua ya kujitafuta
Sisi ndo mafisi, au sio😃[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizo hizo anazopata azitafune, kujitafuta ndio mdudu gani?