Mwenye kujua namna ya kujitafuta

Mwenye kujua namna ya kujitafuta

CAMANGA

Member
Joined
May 14, 2023
Posts
72
Reaction score
299
Utasikia nilikuwa nafanya moja mbili tatu kipindi najitafuta, au jitafute ww ni nani, usipojitafuta utakufa maskini

Jamani ivi kujitafuta inakuwaje mwenye kujua japo kwa uchache atupe ABC na sisi tuanze hio hatua ya kujitafuta
 
Ni self-searching,,kujichunguza ulipotoka,ulipo na uendako
 
kujitafuta kugumu,ila komaa utajipata tuu ujapotea.
 
Usijichoshe kula maisha, unajitafuta karibu na kujipata unakufa. Sa ndo mambo gani?? Unaacha ugomvi kwa ndugu tu!!!!
 
Utasikia nilikuwa nafanya moja mbili tatu kipindi najitafuta, au jitafute ww ni nani, usipojitafuta utakufa maskini

Jamani ivi kujitafuta inakuwaje mwenye kujua japo kwa uchache atupe ABC na sisi tuanze hio hatua ya kujitafuta
mkuu kujitafuta ni kukomaa hadi kieleweke, unafanya kila namna ili mambo yaende,ukishapata ndo umejipata.
wahuni wanaita toka magetoni ✌
 
Usijichoshe kula maisha, unajitafuta karibu na kujipata unakufa. Sa ndo mambo gani?? Unaacha ugomvi kwa ndugu tu!!!!
😁 hii hadithi yako haina tofauti na ile ya samson na Delilah, kumbuka yeye hana mtu nyuma yake, akikosa ni analala njaa kweli!
 
[emoji16] hii hadithi yako haina tofauti na ile ya samson na Delilah, kumbuka yeye hana mtu nyuma yake, akikosa ni analala njaa kweli!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizo hizo anazopata azitafune, kujitafuta ndio mdudu gani?
 
Utasikia nilikuwa nafanya moja mbili tatu kipindi najitafuta, au jitafute ww ni nani, usipojitafuta utakufa maskini

Jamani ivi kujitafuta inakuwaje mwenye kujua japo kwa uchache atupe ABC na sisi tuanze hio hatua ya kujitafuta
Kauli ya kishujaa unaposhindwa kutoboa mapema
 
Back
Top Bottom