Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Ok duuhh!! Kumbe mambo yamebadilika.Hongera kwa kumpa mwanga.
Ila vigezo vya sasa vitamkataa, uwanja wa chaguzi ya kozi umepunguzwa.
TCU wanataka ufanye chaguzi kutokana na ulichokihitimu kwenye ngazi ya stashahada.
Mfano; Clinical Medicine ni MD, HIS,HMS, Clinical Nutrition na Nutrition Science huruhusiwi kuomba Maabara au Famasi
Mimi nilitumia experience ya "uhenga"... Basi mkuu kikoozi itabidi uzingatie vigezo vya TCU kabla ya kuomba hizo kozi, uangalie ambazo zinakubali mkuuUmemshauri vema ila kuna kozi hapo Clinical Medicine hawachukui
Mmh [emoji2296]Hongera kwa kumpa mwanga.
Ila vigezo vya sasa vitamkataa, uwanja wa chaguzi ya kozi umepunguzwa.
TCU wanataka ufanye chaguzi kutokana na ulichokihitimu kwenye ngazi ya stashahada.
Mfano; Clinical Medicine ni MD, HIS,HMS, Clinical Nutrition na Nutrition Science huruhusiwi kuomba Maabara au Famasi.
Na mtu aliehitimu stashahada ya Famasi au Maabara hawezi kuomba MD.
Hizo za Microbiology na Molecular Biology & Biotechnology je?Hongera kwa kumpa mwanga.
Ila vigezo vya sasa vitamkataa, uwanja wa chaguzi ya kozi umepunguzwa.
TCU wanataka ufanye chaguzi kutokana na ulichokihitimu kwenye ngazi ya stashahada.
Mfano; Clinical Medicine ni MD, HIS,HMS, Clinical Nutrition na Nutrition Science huruhusiwi kuomba Maabara au Famasi.
Na mtu aliehitimu stashahada ya Famasi au Maabara hawezi kuomba MD.
Hii anaweza kuomba. Haina tatizoHizo za Microbiology na Molecular Biology & Biotechnology je?
Mkuu kikoozi uione hiiHii anaweza kuomba. Haina tatizo
Uwepo wa vyuo vingi vya kati vya binafsi kiujumla unachochea wanafunzi wengi kukosa nafasi ya kufanya MD.
Wanafunzi ‘Wanapewa’ na sio kuihangaikia GPA.
Kwa kipindi kile GPA ya 4.1 ni aghalabu kukosa chuo.
Asikate tamaa,ajaribu kuomba kwenye duru la 2 na mungu atamsaidia atapata tu.
Ni wachache watakubaliana na wewe mkuu..!Umesema kweli mkuu.
Vyuo vya kati kuna usimamizi mbovu kiasi kwamba unapata shida kujua nini kipo nyuma ya jambo hili.
Mitihani hasa ya clinical medicine,kila mwaka ina leak.Haina thamani ya mtihani wa taiga licha ya kila mwanafunzi kuchangia kiasi cha laki na nusu.
Unashangaa mtihani wa darasa la saba una heshima kubwa sana.Unafungwa kwenye bahasha maalumu tofauti na hii ya vyuo.Bahasha ni hizi za stationaries.
Kwa gpa hiyo ni kama amefanya kawaida sana.Maana wapo wenye GPA ya 5,na ni wengi tu,ingawa kiukweli hazina uhalisia.
Mwisho namshauri aombe kusoma medical laboratory
Ila hapo kwenye paper kuleak minaona bora zileak tu watoto wawatu wafaulu maana hata form six pia paper zina leak .mwaka wangu nafanya paper kumaliza form six paper ili leak kwa kweli nilishukuru sana..kwanini wateseke bwana ?Umesema kweli mkuu.
Vyuo vya kati kuna usimamizi mbovu kiasi kwamba unapata shida kujua nini kipo nyuma ya jambo hili.
Mitihani hasa ya clinical medicine,kila mwaka ina leak.Haina thamani ya mtihani wa taiga licha ya kila mwanafunzi kuchangia kiasi cha laki na nusu.
Unashangaa mtihani wa darasa la saba una heshima kubwa sana.Unafungwa kwenye bahasha maalumu tofauti na hii ya vyuo.Bahasha ni hizi za stationaries.
Kwa gpa hiyo ni kama amefanya kawaida sana.Maana wapo wenye GPA ya 5,na ni wengi tu,ingawa kiukweli hazina uhalisia.
Mwisho namshauri aombe kusoma medical laboratory
Naona hapa tunashindwa kujua Tatizo nini tumejikita hasa kulaumu kuwa ufaulu ule kwanini kakosa nafasi!!Ila mfumo wa elimu wa TANZANIA ni wakuwafanya watu wakate matumaini na kubadilisha dreams tuna mfumo mbovu sana wa elimu hemu tujaribu kucheki kwa wenzetu wazungu..anyway mimi nimeshangaa mtu ana GPA 4.1 bado anakosa nafasi. Usikate tamaa fanya tena maombi usimsahau na mungu kumuweka mbele
Mkuu hawezi omba pharmacy wala medical. Hana msingi wa hizo kada katika Dip yake. Apambane ni MD anayotaka. Halafu watu wengi bado hawajua kwa watu wa familia ya uchumi wa wastani Pharmacy ni best sana kwao.Aombe round ya 2, na akikosa MD mwambie aangalie pharmacy, dentist ya pale muhas pamoja na udaktari wa viungo pale kcmc...
Kusoma ni juhudi za mtu tu.. Kwani hyo diploma alikuwa anasomaje na mbona kafaulu vizuri...!!kuanzia 2010 watu wengi waliona kupitia route ya diploma ni rahisi zaidi kufikia ndoto zako kuliko form 6. Mtu anamaliza diploma 2020 na kujiunga digrii 2020 yaani ile diploma yake haitumii hata kidogo.
kwa experience yangu wakufunzi wengi hawapendi wanafunzi wanaotoka diploma maana wanaona wanatumia nguvu kubwa kuwaelekeza vitu vidogo. Mtu hana knowledge Nzuri ya cytology, hajui biochemistry ile rahisi ya advance, ana DNA concept ya Olevel. Au mtu anaenda kusoma Bpharm hajui organic chemistry na physical chemistry zile konki za Advance, hajui differentiation na integration wakati zinahitajika kusoma pharmacokinetics na pharmaceutical technology( production)
Sisemi kama ni magumu sana na hawataelewa, wapo diploma holders ambao wanaperform vizuri kuliko form 6 ila the odds are against them na inabidi wastruggle mara 2 ya form 6 ili kuwa level moja. Wakufunzi hasa vyuo vya serikali hawataki shida za kurudiarudia mambo ndio maana wanapenda form 6 ambao wana background nzuri ya hayo mambo.
uko sahihi ila kuna baadhi ya kozi unakuta diploma hazikwenda deep ila hawa form 6 walisoma deep. Sasa mkifika chuo walimu hawarudii kuelekeza wanassume wote mlipita form 6. Hata hivyo ni kozi chache sana na sio ngumu kihivyo na ukikaza unatoboa zaidi hata ya form 6 leaver. kuna malecturer wengine ni waelewa na wanaelekeza kwa faida ya wote.Kusoma ni juhudi za mtu tu.. Kwani hyo diploma alikuwa anasomaje na mbona kafaulu vizuri...!!
Binafsi naamini mtu akitokea diploma na kuunga full bachelor ndo anakuwa simple kuelewa vitu coz ana msingi wa taaluma husika.
Wewe ni mkweli na kweli imekuweka huru.Nipo kwenye hii field mkuu..! Najua nnachokiongea..! NACTE wanatoa transcript kutokana na matokeo yaliyopelekwa na chuo husika..!
Nakupa assignment, fuatilia CO waliohitimu before 2015 na kuanzia 2015 halafu utapata majibu..!
Baada ya TCU kupandisha GPA kutoka 2.7 mpaka 3.5 kumekuwa na ongezeko kubwa la GPA > 4