Mwenye kujua, nje ya Medical Doctor (MD), course gani nyingine ipo kwenye soko miaka 3 hadi 4 ijayo?

Hongera kwa kumpa mwanga.
Ila vigezo vya sasa vitamkataa, uwanja wa chaguzi ya kozi umepunguzwa.
TCU wanataka ufanye chaguzi kutokana na ulichokihitimu kwenye ngazi ya stashahada.
Mfano; Clinical Medicine ni MD, HIS,HMS, Clinical Nutrition na Nutrition Science huruhusiwi kuomba Maabara au Famasi
Ok duuhh!! Kumbe mambo yamebadilika.
Basi itabidi mhusika kikoozi acheki vigezo vya TCU kwa kozi husika
 
Hongera kwa kumpa mwanga.
Ila vigezo vya sasa vitamkataa, uwanja wa chaguzi ya kozi umepunguzwa.
TCU wanataka ufanye chaguzi kutokana na ulichokihitimu kwenye ngazi ya stashahada.
Mfano; Clinical Medicine ni MD, HIS,HMS, Clinical Nutrition na Nutrition Science huruhusiwi kuomba Maabara au Famasi.
Na mtu aliehitimu stashahada ya Famasi au Maabara hawezi kuomba MD.
Mmh [emoji2296]
 
Hizo za Microbiology na Molecular Biology & Biotechnology je?
 
Ila mfumo wa elimu wa TANZANIA ni wakuwafanya watu wakate matumaini na kubadilisha dreams tuna mfumo mbovu sana wa elimu hemu tujaribu kucheki kwa wenzetu wazungu..anyway mimi nimeshangaa mtu ana GPA 4.1 bado anakosa nafasi. Usikate tamaa fanya tena maombi usimsahau na mungu kumuweka mbele
 
Umesema kweli mkuu.
Vyuo vya kati kuna usimamizi mbovu kiasi kwamba unapata shida kujua nini kipo nyuma ya jambo hili.

Mitihani hasa ya clinical medicine,kila mwaka ina leak.Haina thamani ya mtihani wa taiga licha ya kila mwanafunzi kuchangia kiasi cha laki na nusu.

Unashangaa mtihani wa darasa la saba una heshima kubwa sana.Unafungwa kwenye bahasha maalumu tofauti na hii ya vyuo.Bahasha ni hizi za stationaries.

Kwa gpa hiyo ni kama amefanya kawaida sana.Maana wapo wenye GPA ya 5,na ni wengi tu,ingawa kiukweli hazina uhalisia.

Mwisho namshauri aombe kusoma medical laboratory
Uwepo wa vyuo vingi vya kati vya binafsi kiujumla unachochea wanafunzi wengi kukosa nafasi ya kufanya MD.
Wanafunzi ‘Wanapewa’ na sio kuihangaikia GPA.
Kwa kipindi kile GPA ya 4.1 ni aghalabu kukosa chuo.

Asikate tamaa,ajaribu kuomba kwenye duru la 2 na mungu atamsaidia atapata tu.
 
Umesema kweli mkuu.
Vyuo vya kati kuna usimamizi mbovu kiasi kwamba unapata shida kujua nini kipo nyuma ya jambo hili.

Mitihani hasa ya clinical medicine,kila mwaka ina leak.Haina thamani ya mtihani wa taiga licha ya kila mwanafunzi kuchangia kiasi cha laki na nusu.

Unashangaa mtihani wa darasa la saba una heshima kubwa sana.Unafungwa kwenye bahasha maalumu tofauti na hii ya vyuo.Bahasha ni hizi za stationaries.

Kwa gpa hiyo ni kama amefanya kawaida sana.Maana wapo wenye GPA ya 5,na ni wengi tu,ingawa kiukweli hazina uhalisia.

Mwisho namshauri aombe kusoma medical laboratory
Ni wachache watakubaliana na wewe mkuu..!
Ila kuna tatizo kuu katika utungaji,usimamizi na ugawaji wa alama katika vyuo vingi.
Ukifanya assessment ya mtu mwenye GPA ya 4 au kuendelea ni balaa tupu. Taaluma sasa imekuwa biashara
 
Umesema kweli mkuu.
Vyuo vya kati kuna usimamizi mbovu kiasi kwamba unapata shida kujua nini kipo nyuma ya jambo hili.

Mitihani hasa ya clinical medicine,kila mwaka ina leak.Haina thamani ya mtihani wa taiga licha ya kila mwanafunzi kuchangia kiasi cha laki na nusu.

Unashangaa mtihani wa darasa la saba una heshima kubwa sana.Unafungwa kwenye bahasha maalumu tofauti na hii ya vyuo.Bahasha ni hizi za stationaries.

Kwa gpa hiyo ni kama amefanya kawaida sana.Maana wapo wenye GPA ya 5,na ni wengi tu,ingawa kiukweli hazina uhalisia.

Mwisho namshauri aombe kusoma medical laboratory
Ila hapo kwenye paper kuleak minaona bora zileak tu watoto wawatu wafaulu maana hata form six pia paper zina leak .mwaka wangu nafanya paper kumaliza form six paper ili leak kwa kweli nilishukuru sana..kwanini wateseke bwana ?
 
Ila mfumo wa elimu wa TANZANIA ni wakuwafanya watu wakate matumaini na kubadilisha dreams tuna mfumo mbovu sana wa elimu hemu tujaribu kucheki kwa wenzetu wazungu..anyway mimi nimeshangaa mtu ana GPA 4.1 bado anakosa nafasi. Usikate tamaa fanya tena maombi usimsahau na mungu kumuweka mbele
Naona hapa tunashindwa kujua Tatizo nini tumejikita hasa kulaumu kuwa ufaulu ule kwanini kakosa nafasi!!

Kwa mawazo yangu hasa miaka ya hivi karibuni, Diploma hasa katika kozi za afya wamekuwa wakipewa prioi ndogo sana kusoma Bachelor ukilinganisha na F6 leavers mfano mwaka juzi UDOM baada ya kuruhusiwa wadahili MD baada ya kuwa imepigwa ban kwa zaidi ya mwaka mmoja hivi, Admission Capacity ilikuwa watu 120 kati ya hao 110 walikuwa F6 leavers afu waliobaki 10 tu ndio walikuwa Diploma!! Kwa mazingira hayo unaona kabisa jinsi gani ilivyo ngumu kupata nafasi!!! Dogo asikate tamaa Round hii aombe tu hasa vile vyuo ambavyo ushindani sio mkubwa sana hasa hivi vyuo vya private visivyo na majina hapa TZ kama St Francis, KIU, na St Joseph lakini hivi aombe kulingana na half ya uchumi kama ni wakunga unga kama bunduki asiguse!!!
 
Aombe round ya 2, na akikosa MD mwambie aangalie pharmacy, dentist ya pale muhas pamoja na udaktari wa viungo pale kcmc...
Mkuu hawezi omba pharmacy wala medical. Hana msingi wa hizo kada katika Dip yake. Apambane ni MD anayotaka. Halafu watu wengi bado hawajua kwa watu wa familia ya uchumi wa wastani Pharmacy ni best sana kwao.
 
kuanzia 2010 watu wengi waliona kupitia route ya diploma ni rahisi zaidi kufikia ndoto zako kuliko form 6. Mtu anamaliza diploma 2020 na kujiunga digrii 2020 yaani ile diploma yake haitumii hata kidogo.

kwa experience yangu wakufunzi wengi hawapendi wanafunzi wanaotoka diploma maana wanaona wanatumia nguvu kubwa kuwaelekeza vitu vidogo. Mtu hana knowledge Nzuri ya cytology, hajui biochemistry ile rahisi ya advance, ana DNA concept ya Olevel. Au mtu anaenda kusoma Bpharm hajui organic chemistry na physical chemistry zile konki za Advance, hajui differentiation na integration wakati zinahitajika kusoma pharmacokinetics na pharmaceutical technology( production)

Sisemi kama ni magumu sana na hawataelewa, wapo diploma holders ambao wanaperform vizuri kuliko form 6 ila the odds are against them na inabidi wastruggle mara 2 ya form 6 ili kuwa level moja. Wakufunzi hasa vyuo vya serikali hawataki shida za kurudiarudia mambo ndio maana wanapenda form 6 ambao wana background nzuri ya hayo mambo.
 
Kusoma ni juhudi za mtu tu.. Kwani hyo diploma alikuwa anasomaje na mbona kafaulu vizuri...!!
Binafsi naamini mtu akitokea diploma na kuunga full bachelor ndo anakuwa simple kuelewa vitu coz ana msingi wa taaluma husika.
 
uko sahihi ila kuna baadhi ya kozi unakuta diploma hazikwenda deep ila hawa form 6 walisoma deep. Sasa mkifika chuo walimu hawarudii kuelekeza wanassume wote mlipita form 6. Hata hivyo ni kozi chache sana na sio ngumu kihivyo na ukikaza unatoboa zaidi hata ya form 6 leaver. kuna malecturer wengine ni waelewa na wanaelekeza kwa faida ya wote.
 
Nipo kwenye hii field mkuu..! Najua nnachokiongea..! NACTE wanatoa transcript kutokana na matokeo yaliyopelekwa na chuo husika..!

Nakupa assignment, fuatilia CO waliohitimu before 2015 na kuanzia 2015 halafu utapata majibu..!

Baada ya TCU kupandisha GPA kutoka 2.7 mpaka 3.5 kumekuwa na ongezeko kubwa la GPA > 4
Wewe ni mkweli na kweli imekuweka huru.
 
Back
Top Bottom