Mwenye kujua, nje ya Medical Doctor (MD), course gani nyingine ipo kwenye soko miaka 3 hadi 4 ijayo?

Ukisomea udaktari MD, vitengo kama BoT,TRA,TPDC utavisikia kwenye redio
 
ivi kuna uwezekano wa kusoama degree mbili tofauti.
mfano mtu akasoma BCs in biotechnology and labolatory science then baadae akayaka kusoma BCs in microbiology?
 
Nilikuwa naipenda hii kozi lakini ghafla ilinitoka aisee..kwanza waombaji ni wengiii mno afu maisha ya kazini ni kujitoa sana yaani unaanzia kuteseka ukiwa unasoma hadi unafanya kazi...
kuna wale wanao soma vikoz vya kawaiwa tu wanamaisha bomba kinyama
 
kuna wale wanao soma vikoz vya kawaiwa tu wanamaisha bomba kinyama
Yah..kuna vikozi vya kawaida lakini ukipata kazi umetoboa..sasa Hiyo MD dah!.. Kinachoniuma zaidi kila aliyesoma PCB anang'ang'ania iyo iyo ushindani mkubwa..hata ukimshauri mtu aombe kozi ingine ya afya hataki...yaani sasaivi round 2 kuna watu wataomba tena iyo iyo na wakati round 1 walikosa..
 
acha tu
 
Nilikuwa naipenda hii kozi lakini ghafla ilinitoka aisee..kwanza waombaji ni wengiii mno afu maisha ya kazini ni kujitoa sana yaani unaanzia kuteseka ukiwa unasoma hadi unafanya kazi...

Mkuu believe me, unapohitimu udaktari na ukajua kutibu hata siku moja hutoona uzito kwenye majukumu yako.. Hivyo usifikiri wale wanaotibu watu wanateseka kwenye majukumu yao.

Unasema hivyo kwa kuwa labda hukuipata hiyo nafasi ila amini ninachokuambia.

Kuhusu kupata nafasi ya kusomea MD, of coarse competition ni kubwa.. Ila ukipata nafasi hutojutia.

Zipo course ndogo ndogo ambazo watu wanapiga pesa sana, nakubali.. Lakini omba uwe na bahati!

Mimi nina rafiki yangu alisoma PCM akapata kozi ndogo tu ya science pale CBE ya 3 years inaitwa Metrology (kama sikosei) - inahusika na masuala ya vipimo (ni mpya mpya), mwaka aliomaliza ndio mwaka huo huo wanaajiriwa mawakala wa vipimo wa serikali pale bandari.

Sasa hivi ninavyoongea jamaa anamalizia nyuma yake ya pili, moja ikiwa ya ghorofa. Ni bahati sometimes!
 
Ni kweli lakini..ukubali ukatae...kazi ya udaktari ya kujitoa sanaa...afu kingine hiyo kozi sasaivi ina competition kubwa kuliko zamanii...tena sio kitoto...hata vyuo vya private kupata nafasi bila div 2 ya kwanza hupati... Kuna rafiki yangu ana divi 2/12 ameachwa palee st fransis...
 
...afu kingine hiyo kozi sasaivi ina competition kubwa kuliko zamanii...tena sio kitoto...hata vyuo vya private kupata nafasi bila div 2 ya kwanza hupati... Kuna rafiki yangu ana divi 2/12 ameachwa palee st fransis...

Nimesikia vigezo vya kusomea udaktari vimeshushwa kwa mwaka huu na TCU, mpaka DIV II.12.

Kuna watu wenye ufaulu huo wanahisi mabadiliko hayo yanawa-favor.. Siwakatishi tamaa ila kiukweli hakuna chuo kinachotaka kumdahili mtu mwenye hizo principals..

Huyo jamaa wako mshauri mapema awe na other alternatives, asikae akasubiri maajabu ya MD kwa hiyo pass mark japo inawezekana kwa mujibu wa TCU.

Mwisho kabisa aombe Kairuki wanaweza wakamfikiria.
 
Duh ngoja nimwambie...aisee... Sema siku hizi hii kozi ya clinical medicine duh!..ni mtihani kweli vyuo kibaao...yaani kama pale kigamboni city...wameomba watu 600 imejaa..juzi nilipigiwa simu na vyuo vya private vya afya kama vinne wananilazimisha nijiunge kwao...hawa wanategemea baadae waje kusoma MD kudadeki
 
Ila GPA hii ya NNE kapatia nacte nadhani bado kijna amejitahidi sidhani kama ni ya kupewa
maana mtu kutoboa GPA ya 4 tena under NACTE aisee mpe heshima yake nacte ni nomaaa hasa hizi cozi za afya
 
yani kama cjakuelewa vile em fafanua vizuri mkuu kwamba nacte wanatoaje hizo GPA kwa kusaidiwa na chuo husika au kwa mitihani yao ya nacte ya kila mwisho wa semester ya kila mwaka
 
Asome bachelor of medical imaging science and radiotherapy bugando au bachelor of radiotherapy muhas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…