Mwenye kujua sababu za goli la Singida FG kukataliwa atueleze

Sawa
 
Head to head Yanga kashinda game 39, simba 22.
Yanga kamfunga goal nyingi simba kuliko simba alizoifunga yanga.
ongezeni bidii
Nilisikia argument hii akiitumia shabiki wa Man United.Wameshinda mechi nyingi.Haisaidii.
 
Ukiona kelele na malalamiko yanaanza jua mambo sio yaliyotegemewa.Moto wa jikoni unaanza kufika sitting room.Ihefu wameleta tabu sana.
 
Nimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.

Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Natanguliza shukrani
Fanya kazi Achana na betting za watu
 
Head to head Yanga kashinda game 39, simba 22.
Yanga kamfunga goal nyingi simba kuliko simba alizoifunga yanga.
ongezeni bidii
Haifuti bao Tano wa sita

Wala haiondoi offsides
 
Sio Refa......mshika kibendera....ndio alinyoosha kibendera kuashiria off side.
 
Tushaswma San wanawake hawafai ktk kuchezesha mipira ila bado wanawajaza Kama vip ligi iwe ya wanawake Basi

Kina Martin saanya alikuwa refa Bora Sana ila siku hz wamemuacha
Pia alishafungiwa hapo awali kwa kukosea sheria za mpira
 
Tumekuelewa dada au kuna kingine cha kusema
 
Wengine tulishajiaandaa kisaikorojia hiki kinachoendelea kutengenezea simba mazingira ya ubingwa.

Fuatilia mechi za simba kuanzia Ngao ya jamii. Ni aibu.
Hata kile kichoendelea kwenye mechi ya Yanga Sc dhidi ya Ihefu, nacho ni kuitengenezea Simba Sc mazingira ya ubingwa..?
 
Wengine tulishajiaandaa kisaikorojia hiki kinachoendelea kutengenezea simba mazingira ya ubingwa.

Fuatilia mechi za simba kuanzia Ngao ya jamii. Ni aibu.
Halafu mechi za Simba zote marefa ni mademu. Pia, kila mechi za Simba ana cheza siku 1 baada ya Yanga kucheza. Why ratiba isiwe ya kubabilishana kwa Vilabu kuanza mzunguko? Kati ya Simba, Yanga na Azam.
 
Ubingwa unatafutwa Kwa udi na uvumba

Yanga anachotakiwa kufanya na kuupiga mwingi kimataifa,Nina wasiwasi hataupata ubingwa kama Hali hii ikiendelea
Sio ubingwa, hata nafasi ya tatu mkiipata shukuruni mungu mbuzi nyie na bado hamjasema [emoji23][emoji23]
 
Mlivyopangiwa mechi tatu mfululizo nyumbani kelele zikawa nyingi.Joto limeanza kwa Ihefu malalamiko yameanza.Hamna timu ya kushindana mna ngebe na wachambuzi uchwara wanaowakweza.
 
Head to head Yanga kashinda game 39, simba 22.
Yanga kamfunga goal nyingi simba kuliko simba alizoifunga yanga.
ongezeni bidii
Hizo gemu zote ulikuwa umezaliwa au ulishuhudia ukiwa shambani kabla ya karanga kupandwa?wenzio wameshuhudia Yanga akikandwa 4-0,4-1 na 5-0 wewe umebakisha simulizi za wahenga.Man United amemfungs Man City mara nyingi,hii Ina faida gani kwa Man United?
 
Hawa marefa wa kike wapo kimkakati
 
Halafu mechi za Simba zote marefa ni mademu. Pia, kila mechi za Simba ana cheza siku 1 baada ya Yanga kucheza. Why ratiba isiwe ya kubabilishana kwa Vilabu kuanza mzunguko? Kati ya Simba, Yanga na Azam.
Hapa tatizo ni kubwa. Hasa tatizo linaanzia kwa karia
 
Jaribu kurudia mara ya 21, kuna mabadiliko

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kichwani umejaza ugiligili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…