- Thread starter
- #61
SawaWatu mna muda wa kuchezea sana. Unarudia zaidi ya mara 20 ili iweje? Kama ni mchambuzi (labda pengine ndio kazi yako), mbona ukirudia mara tano hivi inatosha sana kupata kitu cha kuzungumza? Sasa zaidi ya mara 20 (sio mara 20, ni zaidi ya mara 20), kwamba inawezekana yakatokea mabadiliko?