Mwenye kujua tafsiri ya maneno haya kwa Kiingereza anasaidie.

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
1. Ubwabwa

2. Wali

3. Pilau

4. Uji wa mapande

5. Mchele

6. Mpunga

7. Chuya

8. Pumba = Rice bran. By Kinyungu
 
Mzee tumia Google tu, mbona MaMbo rahisi Sana kwa sasa
Ina maana humu hatuna wanaojua kiingereza cha haya maneno. Intanesheno zote tulizo nazo!!!!

Gugo hakuna na wakati mwingine huwa walioweka tafsiri hawakuwa makini. Nataka watanzania wenzetu wanaojua vizuri Kiswahili na Kiingereza watusaidie.

Afadhali PLO katuambia kuwa kumbe Pilau kwa Kiingereza linaitwa "Brown Rice"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…