Mwenye kujua umri wa Wema Sepetu

Yaani kweli mtu mzima mwenye maarifa anaweza kupoteza muda kujadili umri wa Wema???
Hivi ukiambiwa anamiaka 32 au hata 45 itakusaidia nini???
Acheni dada wa watu aendelee na maisha yake
Utashangaa watu wanalalamika maisha magumu huku wanapoteza muda kujadili maisha ya watu!!!
 
Ninasikia eti kuuliza umri wa mwanamke ni aina ya shambulizi la aibu la kijinsia na kudhalilisha utu wake.

Wewe fuatilia interview yoyote anayohojiwa mwanamke kisha achomekewe swali la umri, utasikia : "no comment"!

Huwa inachukuliwa kuwa kumhoji mwanamke ili kujua umri wake ni sawa na kumchungulia bafuni akioga ama kumvua nguo hadharani.

Waswahili huhoji: "wataka kujua umri wa mwanamke ili ugundue nini?".
 
Alidanganya umri ili ashiriki Miss Tanz

Alidanganya umri
Amezaliwa
1990 mpaka sasa ana umri wa takribani miaka 33

Hivyo wadau wana uliza ina maana wakati yeye anashiriki umiss mwaka 2006 alikuwa na miaka 16

Je aliongeza umri au alipunguza kipindi hicho?

Kwa mujibu wako aliongeza ili ashiriki, ina maana wakati huo aliongeza kufikia miaka 18 au 20?

Ila wewe umeng’ang’ania alidanganya alidanganya bila kufafanulia watu waweze kuelewa
 
Miaka 30 hadi 35
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Hizi futuhi muwage mnaangalia Pa kuwekaaa, lol
 
Watu ambao hata baraza la mitihani likiuliza umri wao lazima wanafunzi wafeli
1:Humphrey polepole
2:Steve nyerere
3:Juma kaseja
4:wema sepetu

Tena polepole ndio anachanganya zaidi..asubuhi ukimuona ni kama mzee kiaina..ukikutana nae mchana kama dogo wa advance..usiku kama kijana..ili mradi haeleweki tu
 
Wema ni bado underage, kwahiyo msimsumbue humu kwenye mitandao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…