Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Mara haba hujambo chiziShikamoo Dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara haba hujambo chiziShikamoo Dada
Sijambo ila Chizi ni mleta UziMara haba hujambo chizi
Yaani kweli mtu mzima mwenye maarifa anaweza kupoteza muda kujadili umri wa Wema???Yani huyu sijui ni muweke kwenye kikundi gani !. cha wasichana,dada,mama,watuwazima au wakongwe.
Bado naona yupo kwenye ujana tu na vijana.leo nikitafakari umri wetu na wale waliokuwa mpaka wana watoto wapo shule za msingi, sekondari na vyuo.
Ina maana umri tumeletewa au tunazeeka wachache nchi ila wasanii hapanaView attachment 2484460
Kweli eh kwaniniSijambo ila Chizi ni mleta Uzi
Mchana mwema Dada ake Wema 😁Kweli eh kwanini
Ninasikia eti kuuliza umri wa mwanamke ni aina ya shambulizi la aibu la kijinsia na kudhalilisha utu wake.Yani huyu sijui ni muweke kwenye kikundi gani !. cha wasichana,dada,mama,watuwazima au wakongwe.
Bado naona yupo kwenye ujana tu na vijana.leo nikitafakari umri wetu na wale waliokuwa mpaka wana watoto wapo shule za msingi, sekondari na vyuo.
Ina maana umri tumeletewa au tunazeeka wachache nchi ila wasanii hapanaView attachment 2484460
Mi najua huyo ni mkubwa kuliko Diamond ambaye kazaliwa 1989.😂😂Jiulize swali kama alizaliwa 90 elfu 2006 akashinda umiss kweli nadhani huyu ni WA 82 au 83
aView attachment 2484497
mwengine huyu hapa
AmezaliwaAlidanganya umri ili ashiriki Miss Tanz
Alidanganya umri
1990 mpaka sasa ana umri wa takribani miaka 33Wema Sepetu amezaliwa mwaka 1990. Nina uhakika na hili, taarifa hii nilipenyezewa na classmate wake (binamu yangu) waliyesoma naye Academic International School.
Huyo binamu yangu naye alitamani kwenda Miss Tanzania kikwazo ikawa umri mdogo. Alisema Wema alidanganya umri ili ashiriki. Hata Mange aliwahi sema hii kitu.
Wewe hili swali hali kuhusu tuliaHome of Great thinker.
Yani Umri wake unakusaidia Nini?????
Una faida na hasara Gani???
Huyo mwanamke ni KAHABA.
Miaka 30 hadi 35Yani huyu sijui ni muweke kwenye kikundi gani !. cha wasichana,dada,mama,watuwazima au wakongwe.
Bado naona yupo kwenye ujana tu na vijana.leo nikitafakari umri wetu na wale waliokuwa mpaka wana watoto wapo shule za msingi, sekondari na vyuo.
Ina maana umri tumeletewa au tunazeeka wachache nchi ila wasanii hapanaView attachment 2484460
Mwaka huu ndio atafikisha miaka 25 🐒Wema sepetu umri wake ni chini ya miaka 30,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahWema Sepetu amezaliwa mwaka 1990. Nina uhakika na hili, taarifa hii nilipenyezewa na classmate wake (binamu yangu) waliyesoma naye Academic International School.
Huyo binamu yangu naye alitamani kwenda Miss Tanzania kikwazo ikawa umri mdogo. Alisema Wema alidanganya umri ili ashiriki. Hata Mange aliwahi sema hii kitu.
Yeah, alidanganya ana 18 ili asikataliwe kushiriki Miss TZ kwa kuonekana underage.Wema ni miss Tz mwaka 2006, kwahiyo alikuwa na miaka 16
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu ambao hata baraza la mitihani likiuliza umri wao lazima wanafunzi wafeli
1:Humphrey polepole
2:Steve nyerere
3:Juma kaseja
4:wema sepetu
Tena polepole ndio anachanganya zaidi..asubuhi ukimuona ni kama mzee kiaina..ukikutana nae mchana kama dogo wa advance..usiku kama kijana..ili mradi haeleweki tu