Mwenye kujua umri wa Wema Sepetu

Kwa hyo alichukua miss Tanzania akiwa na miaka 16😳
 
Mbona ni Simpe tu Mkuu.

2006 alishiriki Miss Tz ambapo mshiriki lazima awe 18+ ......Tuki assume 2006 alikuwa na 18 Basi Jumlisha 16 mpaka sasa.

Kwahiyo Wema Sependa yupo 34+
 
Case Closed.

Da Mange Kasema.... πŸ˜€
 
Wema Sepetu amezaliwa mwaka 1990. Nina uhakika na hili, taarifa hii nilipenyezewa na classmate wake (binamu yangu) waliyesoma naye Academic International School.
Sawa
Huyo binamu yangu naye alitamani kwenda Miss Tanzania kikwazo ikawa umri mdogo. Alisema Wema alidanganya umri ili ashiriki. Hata Mange aliwahi sema hii kitu.
Haiwezekani hata kidogo wema awe na 32 hivi sasa.
Nimeajiriwa 2009 wakati huo nikiwa chalii sanaaaa ila miaka niliyorundika hivi sasa ni zaidi ya hiyo 32 na nimekua nikimtazama kama dada mkubwa
 
Hu
Huo ni uongoo acheni uongoo
 
Sawa

Haiwezekani hata kidogo wema awe na 32 hivi sasa.
Nimeajiriwa 2009 wakati huo nikiwa chalii sanaaaa ila miaka niliyorundika hivi sasa ni zaidi ya hiyo 32 na nimekua nikimtazama kama dada mkubwa
Huyo ni 40
 
YUKO HAPA KWAKE MBAGALA KIJICHI NITAVIZIA SIKU ANATOKA AU ANAINGIA NDANI NIMUULIZE
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…