Mwenye kujua umri wa Wema Sepetu

Mwenye kujua umri wa Wema Sepetu

image-2023-01-17-12:31:36-800.jpg

mwengine huyu hapa
 
We
Yani huyu sijui ni muweke kwenye kikundi gani !. cha wasichana,dada,mama,watuwazima au wakongwe.

Bado naona yupo kwenye ujana tu na vijana.leo nikitafakari umri wetu na wale waliokuwa mpaka wana watoto wapo shule za msingi, sekondari na vyuo.

Ina maana umri tumeletewa au tunazeeka wachache nchi ila wasanii hapanaView attachment 2484460
Wema amezaliwa mwaka 1988.

Una lingine?.
 
Wema Sepetu amezaliwa mwaka 1990. Nina uhakika na hili, taarifa hii nilipenyezewa na classmate wake (binamu yangu) waliyesoma naye Academic International School.

Huyo binamu yangu naye alitamani kwenda Miss Tanzania kikwazo ikawa umri mdogo. Alisema Wema alidanganya umri ili ashiriki. Hata Mange aliwahi sema hii kitu.
2006 nilikuwa form two na miaka 15 Wema tunamshuhudia kashiriki umiss Leo hii nimepishana nae mwaka mmoja, mastaa hawakui kwa kweli
 
Back
Top Bottom