Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Sema taratibu hiyo ni nyara ya serikaliUtadhani ni wasira huyo eti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema taratibu hiyo ni nyara ya serikaliUtadhani ni wasira huyo eti?
Oya Mkuu mbona umemkomalia sana mwamba?!😁😁😁😁Inventor wa kwanza kuzindua gari linalotumia tairi za bajaji na inauzwa million 70
🤭🥴Sema taratibu hiyo ni nyara ya serikali
Noma sana!Hii inaitwa
" Whoever Digieth the Pit Shall Bury Himself"
Bob Marley 1982
Ndyo 🤣🤣Kumbe ni series
Inventor wa kwanza kuzindua gari linalotumia tairi za bajaji na inauzwa million 70
Nahisi hii ndio tafsiri sahihiCcm alikuwa anasubiri chadema ife ili aizike lkn haijafa!, so makaburi yamejaa maji kayageuza kuwa swimming pool!.
kwahiyo chadema ni wakristo?Hapo CCM alikua anategemea CHADEMA itakufa so akachimba kaburi la Lisu na la Chadema.
Kupitia uchaguzi wa 21.1.25
Hawajafa sasa makaburi anataka his Nini na masika Ndio hiyoo imeanza
Mmmh.... Wimbo gani una hayo maneno?Hii inaitwa
" Whoever Digieth the Pit Shall Bury Himself"
Bob Marley 1982
Wewe ndiye umepatia. Hayo yalikuwa makaburi ya kisiasa ya Mbowe na Lissu. CCM alisikia ugomvi mwanzoni akaenda kuchimba makaburi na kujenga kibanda akisubiri. Ugomvi ukazidi kuwa mkubwa akasogelea makaburi tayari kwa mazishi, uchaguzi ulipofika ndiyo kabisa akaona kazi imemalizika. Kumbe hakujua, alisubiri mpaka makaburi yamejaa maji na hakuna kilichotokea.Ccm alikuwa anasubiri chadema ife ili aizike lkn haijafa!, so makaburi yamejaa maji kayageuza kuwa swimming pool!.
Uchoraji wa katuni unawasilisha ujumbe na siyo uhalisia. Msalaba ukiwa pembeni ya shimo la mstatili inafanya watu wajenge picha kuwa ni kaburi kwa urahisi. Angechimba mashimo bila kuweka alama ya msalaba wengi wasingejua anamaanisha nini.kwahiyo chadema ni wakristo?